Wakuu mi nilikuwa nataka kujua Hivi haya Mashirika yanasaidia vipi Wanachama wao?
Manake unakuta mtu Umeanza kazi una 25yrs, unachangia huu mwaka wa kumi bado unakaa nyumba ya kupanga ukiwa...
Many people want to be successful; though very few achieve that. The difference lies in ACTION, SKILLS and MENTAL attitude. Take this opportunity to learn more (check the attachment file for...
Kuna Ufananisho uliopo kati ya Ujasirimali na Mapenzi, na Ufanano wao ni kwamba kama Ilivyo kwa Mapenzi kwamba Hakuna chuo Dunini kinacho fundisha Mapenzi ndo ilivyo kwa Ujasirimali, hakuna chuo...
Habarini Wakuu!
Kwanza Kabisa Heri ya mwaka mpya 2013 iwafikie popote mlipo!
Wadau shida yangu hasa ni kuhusu kikokotoleo (Calculator) ya TRA kenye Magari used, Nimefuatitilia mijadala...
Wadau kutokana na huu mfumuko wa bei na kushuka ''purchasing power'' nafikiri
tunahitaji noti za sh 100,000 zichapishwe kuondoa mzigo wa minoti.Sijui itakuwa na
implication gani kwenye uchumi...
Napenda kuwatahadharisha watu wanaotafuta kununua magari kupitia mtandao wa Zoom Tanzania. Mtandao huo umesaidia sana watu wengi kupata magari hapa hapa nchini. Lakini sasa wamejiingiza matapeli...
Serikali imekuwa ikisema kuwa inaweka mazingira wezeshi ili watu waweze kufanya biashara huwa sielewi maana yake.a
Hivi karibuni rafiki yangu Mmoja ameingia mkataba wa kuingiza Herbal Products...
Wakuu kuna kila Dalili kwamba DUNIA inaenda kukumbwa na Uhaba wa Chakula ambao wachunguzi wanadai haujawahi tokea tangia Kuumbwa kwa Hii Dinia, Hali ni Mbaya sana USA na Marekani inaenda kukumbwa...
Habari wadau,tafadhali kwa anayejua viwango vya malipo kwa mawakala kwa kila transaction aviweke hapa,nawasilisha.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
This international and way for somebody to make some cash and reduce debt. My link is www.pennymatrix.com/slaughter1. The cost is $ 7.00 a month and $ 80.00 a year
Kitendo cha aliyekuwa waziri wa mali ya sili na utalii kukubali samaki waliokisiwa kuwa na mionzi ya kemikali kutoka japan na kuwaingiza nchini waliwe na wananchi wa tanzania, ni cha kinyama na...
Pangani - Tanga
Pangani Farm: 38 acres · Title deed available · Orange farm · Located at Kimang'a, Pangani – Tanga (12 Kms from Pangani, 40 Kms from Tanga and 36 Kms from Mheza) · All...
Habari za wakati huu ndugu na jamaa zangu?
Nikitambua ya kwamba kuna umuhimu mkubwa wa kujua hali ya uwekezaji, ila habari finyu za uwekezaji kwa Watanzania ni changamoto inayoshusha hamasa kwa...
Habari za kumaliza mwaka mpya?
Kwa wenye uzoefu naomba kujua oven ipi nzuri (Commercial) kati ya ile ya umeme au ya gas ( in terms of performance and running cost)
Uzembe huu upo makao makuu hasa katika kuweka entry to the data base. Tiss (Local Transfer) kawaida uchukua siku moja kuingia katika account ilipotumwa na charge yake uwa kubwa tofauti na charge...
Habari wakuu,mimi ni mwajiriwa mahala flani lakini pia namind business zangu,sasa natamani sana kuacha kazi ili nimind my own business kwa uhuru na nipate muda wa kutosha kukaa na familia...
Tanzania's debt stock reached TZS 17.2 Trillion as at 31st Oct, 2012 from 7 trillion as at 31st Dec, 2005 when JK's team took charge... What are your opinions?? Are not overburdening our...
NEWS
Part of the public debt is used in developing Tanzania's infrastructure. Photo/FILE Nation Media Group
By ROSEMARY MIRONDO
Posted Saturday, December 29 2012 at 16:50
IN SUMMARY...