Wakuu naomba kujua kama kuna ukomo wa umri wa tractor zinazoweza kuingizwa nchini. Nimepata tractor moja ambayo imetengenezwa mwaka 1978 lakini bado iko order sana. Je, sheria inasemaje? Asanteni
Bamboo Finance, a global private equity group specializing in microfinance and financing social entrepreneurship, announced today that it has acquired a controlling interest in Accion Investments...
Ndugu zangu wana JF nipo kwenye utafiti wa kufahamu soko la uhakika la asali na bei zake, maana muda wowote kuanzia sasa nataka kuanza kufuga nyuki na nimesha andaa mpango mzima
kwa kuwa...
kwa wote mnaopenda kujiajiri kwa kufuga kuku, karibu mnunue mashine za kuangulia vifaranga zenye ufanisi mkubwa ili mweze kuondokana na ufugaji wa mazoea na kufuga kibiashara zaidi. Ili muone...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, ameendeleza kasi yake ya kulisafisha Shirika la Viwango Tanzania (TBS), ambapo sasa ameivunja rasmi bodi ya shirika hilo kuanzia Novemba 21...
Heads roll as ATM theft wave hits Tanzanian banks
Automated Teller Machine (ATM) theft in the country is a new experience and concerned authorities have advised financial institutions to...
Biashara Hasa Iliyongeni(Ndio Kwanza Unawaza Kuianzisha Wewe Peke Yako) Ktk Eneo Husika.
Nifanyeje Ili Kujua Soko, Na Changamoto Zake?
Sababu Hata Kama Biashara Isiyokuwa Ngeni(Iliyozoeleka)...
By KENNEDY SENELWA Special Correspondent
Posted Saturday, November 24 2012 at 10:57
IN SUMMARY
The sale includes a five per cent stake in Kiliwani North Development License which has 45...
Kwa wadau wote wa JF
Nimekuwa nasikia kuwa kwa nchi za wenzetu watu huweza kufanya kazi on line na kuwa kama sehemu yao ya ajira.
Naomba kama kuna mtu anafaham kazi mbayo naweza kufanya on line...
Hallow Dr. Harrison Mwakyembe.
Let me start by Appreciating your very Good work Since you took over the Ministry of Transport.
From the Harbor to the railways. Thanks Again.
The aim of this note...
Habari zenu wadau
Mimi ni mgeni kwenye hii biashara,naomba ushauri wa uzoefu kuhusu jambo moja,utachukua hatua gani endapo unapata mteja anataka kutoa hela kwenye akaunti yake,lakini...
From TBC now mwanazuoni wetu:
Refer kichwa cha habari hapo juu, Prof. Anasema eti kila mtanzania apewe dollars 1000 eti kuwawezesha wananchi kumudu maisha. Kwa hali ya Tanzania sasa dollar 1 sawa...
When he was dismissed as a driver with a book-publishing firm nine years ago, 49-year-old Sammy Tanui thought his life had come to an end.
To make matters worse, the sacking came hot on the...
wadau, naombeni msaada wa kufahamishwa juu ya wanunuzi/mawakala wa biashara ya graphite au mahali lilipo soko la graphite hapa nchini.
pia nakaribisha wabia wa biashara hii kwani ninayo deposit...
Hellow friends,, tuna organisation inayojihusisha na ufugaji wa nyuki na uzalishaji wa asali, naomba msaada wenu kama naweza kupata sponsor ili tuweze kupanua mradi uwe mkubwa kuweza kujiendesha...
Kwenu wana JF,
Kwa siku mbili nimewasikia wafanyakazi wenzangu wakilalamika kwamba wameenda kuchukua pesa katka ATM za NBC na kukuta pesa zao zote zimechukuliwa na watu wasiofahamika.Wameripo...
Gazeti la Mwananchi la leo tarehe 21/11/2012 limechapisha habari kuwa Jumuiya ya Ulaya imeishauri Tanzania Kuboresha Bandari ya Dar es Salaam. Kwa wanaofuatilia habari za nchi ya kenya, BBC...
Wadau wa JF naomba msaada wenu, nahitaji kujua nitapata wapi mashine ya kutotoresha mayai ya kuku na mashine ya kutengeneza chakula cha kuku. nitashuru zaidi kama nitapewa na bei zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.