Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu naomba kujua kama kuna ukomo wa umri wa tractor zinazoweza kuingizwa nchini. Nimepata tractor moja ambayo imetengenezwa mwaka 1978 lakini bado iko order sana. Je, sheria inasemaje? Asanteni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bamboo Finance, a global private equity group specializing in microfinance and financing social entrepreneurship, announced today that it has acquired a controlling interest in Accion Investments...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF nipo kwenye utafiti wa kufahamu soko la uhakika la asali na bei zake, maana muda wowote kuanzia sasa nataka kuanza kufuga nyuki na nimesha andaa mpango mzima kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
can a demand creates its own supply?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wote mnaopenda kujiajiri kwa kufuga kuku, karibu mnunue mashine za kuangulia vifaranga zenye ufanisi mkubwa ili mweze kuondokana na ufugaji wa mazoea na kufuga kibiashara zaidi. Ili muone...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, ameendeleza kasi yake ya kulisafisha Shirika la Viwango Tanzania (TBS), ambapo sasa ameivunja rasmi bodi ya shirika hilo kuanzia Novemba 21...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heads roll as ATM theft wave hits Tanzanian banks Automated Teller Machine (ATM) theft in the country is a new experience and concerned authorities have advised financial institutions to...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Biashara Hasa Iliyongeni(Ndio Kwanza Unawaza Kuianzisha Wewe Peke Yako) Ktk Eneo Husika. Nifanyeje Ili Kujua Soko, Na Changamoto Zake? Sababu Hata Kama Biashara Isiyokuwa Ngeni(Iliyozoeleka)...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
By KENNEDY SENELWA Special Correspondent Posted Saturday, November 24 2012 at 10:57 IN SUMMARY The sale includes a five per cent stake in Kiliwani North Development License which has 45...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Kwa wadau wote wa JF Nimekuwa nasikia kuwa kwa nchi za wenzetu watu huweza kufanya kazi on line na kuwa kama sehemu yao ya ajira. Naomba kama kuna mtu anafaham kazi mbayo naweza kufanya on line...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hallow Dr. Harrison Mwakyembe. Let me start by Appreciating your very Good work Since you took over the Ministry of Transport. From the Harbor to the railways. Thanks Again. The aim of this note...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Mimi ni mgeni kwenye hii biashara,naomba ushauri wa uzoefu kuhusu jambo moja,utachukua hatua gani endapo unapata mteja anataka kutoa hela kwenye akaunti yake,lakini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
From TBC now mwanazuoni wetu: Refer kichwa cha habari hapo juu, Prof. Anasema eti kila mtanzania apewe dollars 1000 eti kuwawezesha wananchi kumudu maisha. Kwa hali ya Tanzania sasa dollar 1 sawa...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
When he was dismissed as a driver with a book-publishing firm nine years ago, 49-year-old Sammy Tanui thought his life had come to an end. To make matters worse, the sacking came hot on the...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
wadau, naombeni msaada wa kufahamishwa juu ya wanunuzi/mawakala wa biashara ya graphite au mahali lilipo soko la graphite hapa nchini. pia nakaribisha wabia wa biashara hii kwani ninayo deposit...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hellow friends,, tuna organisation inayojihusisha na ufugaji wa nyuki na uzalishaji wa asali, naomba msaada wenu kama naweza kupata sponsor ili tuweze kupanua mradi uwe mkubwa kuweza kujiendesha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwenu wana JF, Kwa siku mbili nimewasikia wafanyakazi wenzangu wakilalamika kwamba wameenda kuchukua pesa katka ATM za NBC na kukuta pesa zao zote zimechukuliwa na watu wasiofahamika.Wameripo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Gazeti la Mwananchi la leo tarehe 21/11/2012 limechapisha habari kuwa Jumuiya ya Ulaya imeishauri Tanzania Kuboresha Bandari ya Dar es Salaam. Kwa wanaofuatilia habari za nchi ya kenya, BBC...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wa JF naomba msaada wenu, nahitaji kujua nitapata wapi mashine ya kutotoresha mayai ya kuku na mashine ya kutengeneza chakula cha kuku. nitashuru zaidi kama nitapewa na bei zake.
1 Reactions
47 Replies
15K Views
Nahitaji niwe natumia tube light ambayo mtu mmoja aliniambia itanisadida kuangalia note feki pale mteja anapokuja kununua vitu dukani kwangu naomba nisaideni ni maduka gani naweza kukipata ? Zile...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…