Salaam Mwanajamii,
Leo naanza kwa kuweka bayana hili, ifahamike dhahiri kuwa sina maana ya kutaka kuzuia au kushiriki katika kuhakikisha watu wananyimwa ajira na 'wajasiliamali wapya' bali...
Wakuu jana nilitembelea Maonyesho ya Africa Mashariki, ambayo hayakuwa na Mvuto wa aina yoyote, na sana sana yalikuwepo mabanda ya serikali,
Nilitembelea Banda la Brela na wakaniambia kwa sasa...
Tatizo ni nini mnogopa kutoa ratiba ya mgao au inakuaje watanzania hatuelewi mnatuchosha jamani...hii mambo ya asubuhi mpaka jioni kimya kimya inaumiza sana ,sijui nyie mnaishi uswahilini au kwenu...
habari, nimefungua migahawa na hotel nahitaji kuku wa nyama mara kwa mara waliokomaa sio vifaranga, hii ni katika kusaidiana wanajamii wenzangu, wale wafugaji tunaweza kuwasiliana 0713403840
Some stakeholders in the oil sector have expressed doubts on whether the firm that replaced another Swiss based Agusta energy in the supply of petroleum will bring any efficiency because of the...
Wakuu nina mashine ya kusaga mahindi, imepaki tu! Siwezi kuifunga hapa Dar, sina eneo na mtaji. Niko tayari kwa mkataba wa ushirikiano! Iwe maeneo ya Dar au karibu
DAR ES SALAM, November 1, 2012
The Tanzania Economic Update is a biannual series aimed at fostering constructive dialogue between stakeholders and policymakers about the state of Tanzania's...
Habari zenu wana JF..
Leo nimerudi tena baada ya kupotea kwa muda mrefu nikiwa katika gurudumu la mchakato wa elimu. Nami natoa shukrani zangu za pekee kwa mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kumaliza...
Salaam wanajamii,
Hivi karibuni nilieleza kwa ufupi namna ya kuanzisha biashara na kuifanya ifanikiwe,tulizungumzia hatua ya wazo lenye kutatua matatizo katika jamii,kupata wateja na namna ya...
Ndugu zangu Watanzania, kwanza poleni kwa changamoto zinazojitokeza kwa ukosekanaji wa mafuta. Tunaona juhudi mbalimbali zinafanywa kuondoa tatizo la mafuta. Jana na leo asubuhi tuliweza kumuona...
Naomba msaada wa kueleweshwa gharama za umeme (Electricity Tariffs).
Nimejaribu kupitia jedwali hapa chini lakini sijaelewa.
i.e viwango vilivyowekwa ni kwa muda gani ?
mtu anayetumia...
Ndugu wana great thinker,naomba kuuliza Kama kuna mtu ambaye anajua Nchi ambayo nitapata Matairi ya bei nafuu kwa jumla
Kwani January nataka kufungua sehemu ya kubadilisha oil,wheel alignment...
Jamani hici majuzi nilikwenda kutengeneza gari langu pale gereji ya wachina iliyoko karibu na Rose Garden. Baada ya matengenezo yaliyodumu saa 4, gari ilitulia kabisa na wakaniambia gharama ambapo...
Ukweli husemwa:
Mchumi Milton Friedman alisema, "There ain't no such thing as free lunch".
Viongozi wetu kila kukicha ni kutembeza bakuli na kukopa. Deni la taifa kwa sasa ni Tsh...
Ili kusajili kampuni yako au biashara nyingine ndani ya muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ&CO.LTD kupitia 0714 784154/0753 784154 au tembelea ofisi zetu zilizopo Mandela Road-Dar (Opposite...
kwa huduma za materials ya ujenzi kama mchanga, mawe,mbao, matofali,nk wasiliana nami kwa namba 0768877559 tupo mkoani arusha na tunafanya kazi nchi nzima
Habari Wakuu. Naomba msaada wa kujulishwa ni wapi naweza kupata kitanda cha kujifungulia akina mama (delivery bed) jijini Dar es Salaam au Mwanza. Nitafurahi pia kufahamu bei yake.
Natanguliza...
Written by AMBY LUSEKELO | Daily News | October 14, 2012
I am the Owner, Founder, CEO, Partner and Managing Director. I am also the Head of Department (HOD) handling everything that this company...