Heshima kwenu!
Najitokeza kwa mara kwanza kuanzisha mjadala unogusa maslahi ya taifa.
Jana nilikuwa nikimsikiliza Prof. Sospiter Mhongo waziri wa Nishati na Madini (Kipindi Dakika 45 ITV)...
Nimenunua nondo lakini fundi chuma ambae ndio anazitumia anadai hizo nondo ni fake kwani akizikunja zinavunjika wakati nondo inatakiwa kupinda.
Wapi natakiwa kupeleka sample ya hizi nondo...
Habari wana jamvini. Kuna wachina wana kampuni ya kuuza vifaa vya solar (umeme wa nguvu ya jua) wanataka kuja kuwekeza katika vijiji vya tanzania. Kwa mwenye uzoefu na hii industry hapa kwetu...
Tumejipanga vya kutosha?? miundombimu iko fresh? Madeleva wetu wa daladala na boda boda wawe makini sana na wafuate sheria za barabarani ili wasije wakagonga treni na kusababisha maafa makubwa!
Wana JF hawa financialfreedomtz walitoa tangazo lao la ajira lililokuwa linasomeka kuwa "Are you a graduate?" sasa hawa jamaa wamenipigia simu niende kwenye interview leo saa tisa pale shinyanga...
Wandugu,naomba tubadilishane uzoefu hapa, nitawezaje kuzuia pirates wasiibe kitabu changu ambacho nimekiandika na ninatarajia kukisambaza hapahapa tz? je? wanaoiba ni publishing company au mtu...
Hey there,
It's Sherman Smith here,
business partner with the "Income Experts"
You just visited my website and watched this video...
and opted in to receive more information about
how you...
Mtwara kumebarikiwa kwa kweli hakika MUNGU ni mwema.
Mfumuko mkubwa wa madini ya dhahabu umegunduliwa katika kijiji cha LUKWIKA wilayani NANYUMBU MKOANI MTWARA.
Taarifa hiyo imetolewa na kamishina...
Supply dilemma: Has bulk oil buying failed?
Thursday, 25 October 2012 22:32
The Citizen Reporters
Dar es Salaam.
Questions are being raised over whether the bulk procurement...
Mon, Oct 22nd, 2012
Headlines / Tanzania |
Tanzanian wildlife authorities have disowned a consignment of elephant tusks seized in Hong Kong that were reported to have been shipped from the...
Nahitaji mkopo wa kama Millioni moja. Ila taasisi zinazotoa mikopo zimekuwa na vigezo vingi mno. Je? nawezapata mhisani mmoja anipe, tukubaliane mkataba wa kulipa? kama yupo, ni inbox...
Nisaidieni kufumbua maswali ninayojiuliza dhidi ya hawa dawasa na wananchi walipa kodi waishio Kibaha. Naamini wengi mnajua kuwa DAWASA huchukua maji hapo mto Ruvu, abadani ili maji hayo yafike...
Jamani wa jf, kampuni ya african barrick wanauza hiza zao 74% kwenye kampuni ya kichina. Kwa anayefahamu nini sisi wafanyakazi tunaweza kudai kama malipo na stahili yetu kwakuwa tume wafanyia kazi...
Ndugu zangu mimi kama vijana wengine ninafikiria kujenga nyumbani lakini Gharama za ujenzi ni kubwa sana na sijui vizuri sababu hasa ni nini? Miaka ya nyuma 1995-2000 nakumbuka gharama za ujenzi...
Nimeduazwa na kampeni za Obama na Romney kwenye mbio za kuelekea IKULU ya Marekani hivi juzi kwenye mdahalo wao wa pili. Obama na Romney yeyote atakaepita sera yake ya kwanza ni kurudisha viwanda...