Mwenye kufahamu vigezo na masharti anifahamishe..Kama upo kwenye system tuwasiliane 0715/0755 200221...Nipo serious na nimejipanga..Karibu..Ahs sana..!
Wanabodi,
Moja ya shughuli zangu kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, ni kuandaa vipindi mbalimbali vya TV, Redio na Makala mbali mbali magazetini. Hivyo kwa muda wa siku 5 mfulilizo kuanzia...
Kwa kweli ni kwa muda Sasa utendaji wa Bank ya NMB MANONGA imekuwa ni MMBOVU tumelalamika kwa branch manager lakini hamna lolote ambalo linafanyiwa kazi... Baadhi ya malalamiko ni Kama ifuatavyo...
Wakuu naomba kujua kama kuna benki hapa Tanzania inayo weza kukopesha pesa kwa dhamana ya GARI! mfano mkopo wa sh 3M (milioni 3) kwa gari ya sh. let say iki-tathiminiwa ikawa milion 7,8,au 9. Na...
Rank
Name
Net Worth
Age
Source
Country of Citizenship
1
Carlos Slim Helu & family
$69 B
72
telecom
Mexico
2
Bill Gates
$61 B
56
Microsoft
United States
3
Warren Buffett
$44 B
82
Berkshire...
Tafadhali mwenye kufahamu jinsi ya kutumia online application ya REACH FOR CHANGE
step ya kwanza tayari, step ya pili tunaendaje? na pia FAQ ziko wapi?
New, profitable mining laws coming
By JOINT REPORT
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, October 13 2012 at 12:14
In Summary
Already Kenya, Ugandan and Tanzania have proposed measures that...
Wadau habarini za jioni,
Nimesajili ltd company kama miezi kadhaa iliyopita na nilitegemea hadi kufikia mwisho wa mwaka huu ningeanza kufanya biashara na kuanza kulipa kodi TRA pia, lakini bado...
Wakuu wa JF,
Nahitaj. ushauri yenu, kama mtu anaytaka kuleta mzigo kadogo za vitu mbali mbali za kompyuta na electronics.
Una safirishaje ?
Kwa njia ipi kama sio kontena nzima hayfiki ?
http://www.bplans.com/sample_business_plans.php
UNAWEZA TAFUTA BUSINESS PLAN UITAKAYO THEN UKA EDIT NI MOJA YA NJIA YA WEWE KUANDIKA BUSINESS PLAN
THEN BAADAYA HAPO UNAENDA NA IDEA YAKO KWA...
The commercial banks quoted the shilling closing Thursdays trading at around 1568/1578, which is a range bound the local currency has been holding on firmly since January.
Standard Chartered...
Mradi wa mabasi yaendayo kasi eneo la Magomeni unakwamishwa na nguzo za umeme ambazo bado ziko kwenye eneo la mradi wa barabara, Lawama hizi zimekuwa zikielekezwa kwa shirika la umeme la Taifa...
Tanzania air service in for changesImage via proactiveinvestors.co.uk
BY DR. WOLFGANG H. THOME, ETN UGANDA | OCT 11, 2012(eTN) - At the recently-concluded World Routes meeting in Abu Dhabi...
Habari wadau, kwa mtu yoyote anayehitaji kuwa wakala m-pesa kwa haraka na gharama nafuu kabisa anichek aidha pm au call 0713522353 kwa maelezo zaidi. Utafurahi mwenyewe.
Nina mashaka kidogo na propaganda za shirika letu la umeme kutaka maoni kwa wananchi kwamba sisi tunataka shirika liweje. Kimsingi matatizo ya shirika hili ni ya kimfumo na kiutekelezaji ambapo...
Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuchukua mkopo toka Benki yeyote, mkopo ninaohitaji ni personal loan ambayo watakuwa wananikata kwenye mshahara wangu, nimejaribu kufuatilia mabenki kadhaa lakini...