Wanajamvi nimeuliza hili swali bila kupata majibu natumaini kuna watu wenye idea zaidi kuhusu hili. Baada ya budget kupitishwa TRA walibadilisha baadhi ya kodi kwa kusema kuanzia 1st July Finance...
Jamani mmesikia kuhusu hii teknolojia ya kupunguza gharama ya mafuta kwenye magari kwa kufunga kifaa maalum cha kupunguza gharama? Nimeona mtu akiuza ila naogopa kuingia mkenge, mwenye taarifa...
Kuna jamaa yangu anafanya kazi NBC kanipigia simu kuniambia kuna Tishio la moto. Mwenye kufahamu zaidi tafadhali atujulishe. Hii benki kila siku scandals, kilichobaki tuchukue fedha zetu tu!
Dar es Salaam, Tanzania - The value of export of goods and services in the country has increased to $7.99 billion compared to $7.05 billion recorded during the year ending June 2011 as import...
BARRIERS TO DOING BUSINESS
A tourism investor 745 hours in a year(4 months) following up on government procedures.He/she uses 2.9mTsh-.Anyone can start tourism business but the government even...
Niliwahi kusikia toka kwa Waziri wa Wizara ya Biashara na Uwezeshaji(Mh.Mary Nagu) kwamba graduates wanaweza kupewa mitaji iwapo watajiunga ktk vikundi na kuwa na plan za kufanya biashara flani na...
Niliona tangazo la hii ofa yao ya uongo, sikukurupuka, nikauliza zaidi na zaidi kwa wakala wao, akanihakikishia ni kweli na kujiapiza, si ndo nikanunua nimetumia wiki tu tena kusoma email na...
PAMOJA na Tanzania kupanua wigo wa ukuaji wa uchumi, imebainika kwamba asilimia 90 ya ukuaji huo umeshikiliwa na wawekezaji kutoka nje ya nchi.
Hayo yalibainishwa juzi jijini Dar es Salaam na...
Energy and Minerals deputy minister Stephen Masele has instructed licensed mining companies and individuals to obtain permits from respective authorities, including local authorities, before...
Wana jf,
Katika siku.za hivi karibuni usafiri wa anga kwa kutumia kampuni ya precion air umekuwa kama kituko kutokana na kubadilisha ratiba za usafiri mara kwa mara .Sio siri ni afadhali...
Kama unahitaji mtu wa system design, development na implementation kwa kutumia php na mysql database
nipigie kwenye namba hii 0717 458197.
"only for part time job" au kama unaproject au unataka...
Habari wana jamvi,naomba kujua in more detail tofauti ya e-business na e-commerce kama yanavyotumika nowdays.kama unaweza kuelezea vizuri in english,I will appreciate.Naomba kuwasilisha.
Hi GT,
Nawashauri tujiondoe katika hivyi vyama vya wafanyakazi kwani naona havina msaada wowote bali kutula tu hela zetu,yani chama kimoja tu cha TAMICO(migodi) ndio naona kipo strong lkn vingine...
Naomba kujuzwa aina bora ya note counting machines ambazo ni ideal kwa biashara ndogo ndogo. Nitashukuru nikielezwa pia wapi zinapatikana kwa dar es salaam. Shukrani saaaanaaa!
Wadau naomba mnijuze uzuri na ubaya wa gari aina Toyota Vitz. vigezo muhimu vikiwa, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na gharama za spea, ugumu wa body yake, matatizo ya kiufundi nk mengine mengi
Iread this morning in one among English written newspaper that NBC is under B.O.T eye while its doors are open........Veeeeeery Bad news....Mweeeh...J.K NYERERE alilia ili kupinga hii benki...
Nilipoteza modem yangu ya airtel. Nikashauriwa nikanunue ya TTCL maana banjuka ni bei rahisi.
Nikaenda kulipa 29,900. wafanyakazi wa pale wakanishauri niweke voucher ya 10,000 ili nitumia mwezi...