Pamela Chilongola
BENKI ya Dunia (WB) imetoa mkopo wa Sh41 bilioni kwa ujenzi wa miundombinu Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.
Fedha hizo ni sehemu ya Sh150 bilioni ambazo ziliombwa na...
Heshima zenu wakuu,,,
Mimi nimeomba mkopo wa 3ML nikiwa serious na nia dhati kabisa (bado nauhitaji lakn), Pia nkasema kwa yeyote anayehitaji machine ya aina yeyote ile anitafute lakn watu hawako...
Nimeajiriwa,take home yangu ni above 800,000.Mwajiri wangu hatoi barua ya mkopo na ameingia katika makubaliano maalum na Bank moja hapa nchini mishahara yote hulipwa kwa kutumia hiyo bank...
Florence Majani
UTAFITI uliofanywa na Taasisi ya kifedha ya Finscope, umebaini kuwa, asilimia 21 tu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake ndiyo wenye elimu ya usimamizi wa fedha...
Sheria mpya iliyopitishwa wakati wa bajeti ya Wizara ya Fedha, serikali ilibadilisha mfumo wa ulipaji kodi kwa magari chakavu yanayoagizwa nje ya nchi. Ili kuwa sambamba na East Africa Community...
Mojawapo ya sababu inayofanya fedha kuwa bora ni pamoja na uthabiti wake (Durability).
Kati ya vitu vinavyonikera sana ni uthabiti wa noti mpya wa fedha yetu.
hata mtoto mdogo ukimuonyesha noti za...
Heshima mbele wakuu
Nimeona matangazo mengi (mfano makampuni ya simu au benki) katika tovuti na blogu nyingi. Ningependa mnijuze wana JF ninapaswa nitimize vigezo gani ili kuyavutia makampuni...
Heshima kwenu WADAU:
WADAU kimsingi tunajifunza kutokana na kusikia hasa pale tunapouliza.
Kuna hili jibu ambalo kila mfanyabiashara akiulizwa analitoa-Popote pale:-luninga,ktk biashara...
Mimi ni mtumishi wa Wakala wa Serikali,Mshahara wangu kwa mwezi ni 2M ++ Mwajiri hakubaliani na dhana ya kuingia mkataba na Benki ili watumishi tukopeshwe.Sina colletaral zaidi ya...
Jamani naomba kuuliza kama gari kama Toyota corona Premior au Verossa yenye injini ya D4 kama ina matatizo katika uendeshaji. nataka nijue kama iko safi kwa matumizi.
Hallo wana jf mi nipo rock city ila tuna nyumba mitaa ya sinza na kuna apartment nataka kuimalizia itakuwa inajitegemea one bedroom,sitin rum toilet,full vigae chini na grill sasa nilitaka kujua...
Inakuwaje hii kampuni imetutoza hela then inashindwa kutoa huduma ya malipo tuliyowapa!? Sasaivi huduma hii haipo hewani na hakuna taarifa zozote inakuaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.