Wakuu,
Naitaji kujua hasa kutoka kwa wafanya biashara ndogo ya stationery ni wapi naweza nunua vitu kwa ajili ya stationery yangu ndogo huku mtaani kwetu. Natafuta wauzaji wenye bei nzuri...
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa taarifa ya hali ya uchumi nchini na kufafanua kuwa pato la taifa la Tanzania limekua kwa asilimia 7.1 katika kipindi cha robo ya mwaka 2012...
Thu Aug 2, 2012 9:38am GMT
Aug 2 (Reuters) - British oil and gas explorer Ophir Energy Plc lowered its resource estimate at its Papa-1 well in offshore Tanzania, sending its shares down as much...
Juma lililopita nilisafiri kupitia JNIA. Kitu cha kwanza baada ya kucheck-in pamoja na mizigo yangu nililakiwa na kijana (Security personnel) akaniuliza kama tiketi yangu ilinunuliwa mwezi huu...
Bruce Rastetter and his AgriSol Energy colleagues came to the newspaper recently to rebut criticisms that the corporation, of which he is 30 percent shareholder and managing director, is making...
msaada kwa yeyote anayeweza kunipa maelekezo namna ambavyo nitaweza.
1..kutengeneza matangazo na kuyaweka katika blog yangu
2..kupata sponsors katika blog yangu
Hatimaye ile kampuni yetu pendwa ya usafiri wa Dar - Arusha kwa bei ghali inachungulia kaburi. DAR EXPRESS wamechoka! Nadhani SCANDNAVIA EXPRESS ameanza kumuita rafiki yake huko mautini aliko! Ni...
Napendekeza Sumatra wasikubali viwango vipya vya bandari!
MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), ambayo imeanzishwa kulingana na sheria ya bandari namba 17 ya mwaka 2004 ambayo pamoja na mambo...
I am kindly requesting your permission to join this platform.
Nina shida naomba msaada wenu wana JF . Where can i find this Firm in Dar es Salaam
The Credit and Risk Solutions Bureau (Firm)...
Habari zenu wanajamii wenzangu
Mimi ni kijana wakiume kwa sasa Shughuli yangu ni usindikaji vinywaji vyenye vileo ( pombe). Katika biashara yangu hii changamoto kubwa ambayo naipata ni...
Kiwanja kipo Temeke Amani Gomvu, ni umbali wa km 24 kutoka feri ya kigamboni ni mbele ya gezaulole. kipo umbali wa kutosha kutoka baharini ( hakipo kwenye eneo la hatari) kimepimwa na kina hati ya...
Mh. Waziri wa fedha amemaliza kuwasilisha bajeti moja ya kitu kipya ni usajili wa magari kwa namba maalum (ie jina lako)unalipa mill 5, Great Thinkers nini mtazamo wako, je ni kuaisha wenye uwezo...
Jamani NMB bank hivi hizi ATM zao kutoa noti za elfu 10 tu tatizo ni teknologia yao au ni uhuni tu,halafu sijawahi
kusikia wakitolea maelezo swala.
Mara nyingi miamala yangu inanitaka nitoe na...
Wakuu nina mdogo wangu anafungua duka dogo (Mini Super Market) anaomba kujua utaratibu wakupata jokovu la kampuni ya Coca - Cola je aanzie wapi? Najua hapa nikisima cha hekima kwa wale wajasiria...
Wanajamvi habrini.
Kuna jamaa ni ofisa mkubwa serikalini, sasa katika pitapita zangu, nimeifuma barua yake, akimwandikia katibu mkuu wake ili amwidhinishie aingize gari free bila kulipia zile...
Yaani kipindi hicho dola haikuwa na thamani saana!. Linganisha na nauli za sasa na thamani ya dola ni kama (USD 0.20 =TSH3OO) kama sijakosea. Nilitaka niwakumbushe tu enzi za Mwalimu.
Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali kama ufuta, alizeti, mahindi, mtama, uele na viazi vitamu yanapatikana Kiwangwa. Bei ni TZS250,000/= kwa ekari. Unaweza kupata kiasi chochote...
Salam Wakuu,
Naomba msaada wa procedure au consultancy mtu anisaidie kupata cheti cha NGO kwa ajili ya kampuni ambayo imesajiliwa BRELA kama Limited by Guarantee. Kwa vile shughuli za kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.