Hello, I would like to know if our musicians/artists are aware of sales of their work "Bongo flavour mp3" on Amazon. If yes, can they track the sales volume?
Kwa mujibu wa TBC Mwakyembe amefanya ziara ya ghafla TRL na TAZaRA inaonekana kwa TRL wako on schedule ili treni ianze kazi effective october ila TAZARA kwanza vijana hata posho hawawapi alafu as...
Nahitaji kuanza kufanya hiyo biashara ila kuna mtu kanipa story za juu juu kwamba voda wamesitisha kusajili mawakala wapya,mwenye taarifa zaidi naomba anijuze tafadhali
Southern Agricultural Growth Corridor of TanzaniaThe Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT) is an inclusive, multi-stakeholder partnership to rapidly develop the regions...
Hii namba inaniibia fedha yangu katika acount ya simu ya Vodacom..sasa nimechoka voda wenyewe nahisi wanashiriki..nikiwapigia voda nawaeleza kuwa no.15556 inanitumia msg za Olimpiki wakati mi...
Mimi ni kijana wa kidato cha pili. Ninayamudu karibu masomo yote. Mwaka kesho nitalazimika kuyaacha masomo ya biashara au ya sayansi. Ninategemea kuhitimu chuo kikuu mwaka 2021, ninaomba ushauri...
In recent days i have been following the trend of media regarding entrepreneurship, it seems we have changed the swahili name mfanyabiashara to Mjasiliamali. The way i think an entrepreneur is...
Hii benki kwenye mid 90s ilikuja kwa kasi sana. Baada ya muda si mrefu tukaanza kusikia imeanza kusambaratika.
Hatima yake sijui iliishia vipi. Nani anaikumbuka hii benki? Au wengi wenu humu...
Raymond Kaminyoge
RAIS Jakaya Kikwete ametoa wito kwa Wachina kuja nchini kuwekeza katika kilimo kwa kuwa Tanzania imebahatika kuwa na ardhi yenye rutuba.Alisema sekta binafsi ina mchango mkubwa...
Tigo has engaged in a network expansion program to increase its coverage of the population and to enhance its customers experience of the Tigo service.
As part of its strategy, Tigo is planning...
Soma hotuba ya kambi ya upinzani hapa ujionee maajabu ya Tanzania; kwa wanaojua mahesabu wanaweza kufanya na kuonyesha hizo ni sawa na kuku ngapi ili kupata tani 100.
4.0 Vibali vya Uagizaji wa...
Nimevutiwa na jinsi Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda ilivyojipanga kwa maonesho ya Nane nane hasa kwa kuwa na mfumo wenye kuwezesha mnyororo wa thamani (value chain) kwenye kilimo. Japo ipo mbali...
Bado wanautapeli wa kizamani sana.
El Hadi Karim
Bill and Exchange Manager
Foreign Remittance Dept
Bank of Africa
Attention
I sourced your email from a human resource profile database in the...
Dhumuni kubwa la Maonesho ya nane nane kwa kadri miaka inavyozidi kusonga mbele ndivyo yanavyozidi kupoteza uhalisia wake. Maonesho haya kwa siku nyingi yamekuwa yakijulikana kama maonesho ya...
Bahati mbaya sana, kwetu hakuna uwanja wa ndege; na hata kama ungekuwepo sijui kama ningeweza kumudu usafiri. Na ningemudu kusafiri naamini bado ningepata shida zilezile za Air Tanzania na...
WAKUU HIVI MNAJUA SASA HIVI UKIENDA KU RENEW ROAD LICENCE NI LAZIMA ULIPIE NA FIRE STIKA? HATAKAMA HAIJAISHA NI LAZIMA, NA KAMA UMECHELEWA KULIPIA ROAD LICENCE UNACHAJIWA PENALT YA FIRE WAKATI...
Kuna mpangaji wangu wa nyumba nataka kutokuendelea nae na mkataba. Kwa mujibu wa mkataba wetu tunalipana kwa miezi sita sita na pia kuna room ya kuongeza kodi baada ya kujadiliana nae. Mwezi huu...
Ni zipi sababu za msingi zinazoifanya serikali iendelee kuwalea wachakachaji wa pembejeo za kilimo? Mchakachuaji wa pembejeo za kilimo kwangu mimi ni mhujumu uchumi namba moja na anastahili...
Yes...he turned a $26,000 worth business into a $3 billion empire in a matter of a few years...
Read this and pick up the best piece of inspiration you can find for business starters and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.