Mashirika ya ndege ya nchi maskini, hasa Afrika, yamejikuta yakikumbwa na ajali nyingi za ndege kutokana na kununua ndege chakavu kutoka makampuni ya ndege ya ulaya na marekani. Ndege...
Hello wana JF!
Hivi matatizo ya wakulima wa miwa huko mtibwa mbona huwa ni kitendawili kisichoteguka? Akienda Mkuu wa nchi hana majibu, mkuu wa mkoa, yale yale, mawaziri hamna kitu. Huko kulikoni...
Hello
Microtelecomms Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusiaha na masuala ya Web
Designing, Web Registration, and Web Hosting technology ambapo yatafanikisha wewe/kampuni yako kumiliki...
niwashukuru wadau walioniunga mkono katika kuipitia thread yangu ya somo la mjasiriamali mdogo na wa kati na kuniomba niendelee kutoa somo hili ambalo wengi hulitafuta kwa gharama kubwa lakini...
Leo unaanza mkutano unaowakutanisha makandarasi wa aina zote katika ukuumbi wa Karimjee jijini Dar es Salamu!
Tutawaletea hatua kwa hatua mkutano huo utakavyo kuwa ukienda!
UPDATES:
Mada...
Ukitaka kuchungulia kaburi kwa kufa na presha, kutana na Benk yenye matangazo makubwa yenye nakishi nakishi, ndio utajua kuwa Benki hii haifai, Benki hii licha ya kuweka vipeperushi vingi vya...
Habari wakuu, nafikiri mtakubaliana nami kuwa idadi ya members wa JF inaongezeka kila dakika, na wengi wao si watundu wa kuweza kuperuzi nyuzi zilizotumwa siku, miezi au miaka ya nyuma kitu...
naitaj water pump kwa ajir ya umwagiliaji kwenye shamba ekari 1 na nusu natoa maj mita 200,,,,,kwa mwnye uzoefu naomba msaada wenu wa aina,,,bei zake wapi ntapata kiurahiski
Thats some great basics there, already knew some of that, but you can always learn . I doubt a ?kid? could put together such information as dolphin278 suggested. Maybe he's just attempting to...
Wakuu heshima yenu,
Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza nafaka ua mkaa, lakini baada ya kutafakari kwa kina nikaona kuwa kwa kuwa natarajia kuweka mtu wa kuuza wakati mimi nikihangaika na...
Kweli ukiwa na hasira unaweza ukapiga mtu risasi. Nimemsikiliza Mh. Mwakyembe akiongea na staff wa ATCL nikapandwa na hasira. Hii ni baada ya kulinganisha nilichokisikia kwenye Power Breakfast...
Wadau.
Hapo juzi Serikali kupitia Manispaa ya Temeke imetangaza kuuza viwanja vilivyopimwa maeneo ya Gezaulole na kuwataka wanaohitaji kulipia form Tshs 30,000/- pamoja na picha 3.
Habari...
There's a big difference between making a good living and enjoying a good life. You demonstrate respect and appreciation for money the same way you would anything else of value in your life, be...
wanajamii naomba msaada kujua ubora wa hiz water pump za JD kwa aliyekwisha zitumia,,,mi naitaj moja ya 3" kwa ajir ya bustan natoa maji mton mita ka 100 hiv na kumwagilia ekar ka 2,,,,
Canadian Barrick Gold (TSX:ABX) announced Wednesday a major shakeup of its management team, saying that it has replaced Aaron Regent as president and chief executive officer by Jamie Sokalsky...
Jaman duniani kuna mengi, kila aliyefanikiwa upeo wake umemuwezesha pakubwa hasa aliopewa na Mungu. Siwezi kuamini nilikuwa masikini sana hivi majuzi nikafundishwa biashara ya mtandao na rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.