Bei ya vifurushi Airtel imepanda, 25MB=1500, 150MB Sikumbuki, ila 1GB 15000 2GB........huko hakushikiki! Kisa mtandao wao una kasi, Kwa ujumla vifurushi havinunuliki jana nimejaribu kununua...
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu, amesema uchumi wa Tanzania umeendelea kukua kwa asilimia 6.4 kwa mwaka 2011 zaidi ya ilivyokadiriwa kuwa ungekua kwa asilimia 6 kwa...
Kampuni ya Simgas Tanzania limited, itafanya maonesho ya gesi yake ya kutumia taka na mabaki ya chakula ( Gesi 550), Mlimani city kuanzia tarehe 31 may hadi 3 june. Wadau wote watakaopenda kuona...
Tigo is back with a bumper xtreme package where I am enjoying 15 minutes Tigo to Tigo, 100 SMS, 50 MB which can be used for Facebook, Internet Browsing, E-mail and Twitter, all for only Tsh450! I...
INASEMEKANA kwamba baadhi ya majumba mazuri na ya kisasa yaliyojengwa mjini Arusha, ni matunda ya tanzanite, magari ya kifahari yanayoendeshwa na matajiri pia ni matunda ya tanzanite...
Hii imezoeleka sana kwenye makampuni, huwa wakitoa nafasi za kazi wanahitaji
more than 3 years of experience.Je kwa wanafunzi waliomaliza chuo miaka hii ya karibuni
wana hizo sifa?, au ni...
Ni eneo linalofaa kuwekeza shule,chuo,kiwanda,limepimwa na lina hati zote bei milioni 15 kwa eka,lipo karibu na maeneo ya uwekezaji karibu na uwanja mpya wa ndege ulio taveta. Piga simu namba...
Uchumi wetu kama nchi inayoendelea unatakiwa kuimarika kupitia uzalishaji na kuongeza thamani ya malighafi tulizo nazo. Ili kufanya hayo inahitajika uendelezaji wa viwanda. Uendelezaji wa viwanda...
Kwa muda wa siku tano sasa mafuta ya taa yameadimika ukanda wa huku kwetu mikoa ya Iringa, Njombe, na Mbeya. Sijui na nyie wenzetu huko Dar mtindo ni huohuo? Wanasema mpaka jumanne! Jamani...
Pamoja na tuhuma na maovu mengi ya awamu ya tatu ya uongozi Tanzania, Mzee Mkapa, nitaendelea kumkubali nikilinganisha na wengine. Hebu ona takwimu hizi za mfumuko wa bei jinsi alivyorekebisha...
Nimepokea email kutoka kwa hawa jamaa baada ya kujaza details zangu kwenye ukurasa wao.
Nikiangalia nani ananitumia e-mail naona kuwa anatumia free gmail.com email account na zaidi, hiyo e-mail...
Ease of Doing Business Rank ▲
Starting a Business
Dealing with Construction Permits
Getting Electricity
Registering Property
Getting Credit
Protecting Investors
Paying Taxes
Trading...
Still enjoying the Tigo Black berry streaming promotion with my BB7 package . I have had an amazing service and kinda sad it ends on June 2 . My friend bought a BB180 and got 2 weeks streaming...
Ijumaa nilinunua muda wa maongezi wa 30 elfu kwa niaba ya kununua BIS service ya vodacom via M-pesa nikapata bonas ya 50% ambayo ni elf kumi na tano ss cha kushaangaza leo imebaki 9,105 lakini...
Leo katika tembea tembea zangu, nimepitia tovuti ya Inter-Consult nikakutana na news article kuwa aliyekuwa Mkurungenzi wa Inter-Consult Eng. Mark W. Njiu amestaafu baada ya kufikisha miaka 60...
Bank of Tanzania (BoT) Governor Professor Benno Ndulu has said on average the countrys economy grew at 6.4 percent in 2011 above the estimated growth rate of 6 percent.
The sectors that...
Kitendo cha kumpigia mtu badala ya kuambiwa kama hapatikani au simu yake inaongea sasa kimegeuka kuwa ni sehemu ya MATANGAZO YA LAZIMA!
Tabia hii ambayo kampuni ya Tigo ndio vinara wa uozo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.