Wana jf nasikitika kusema kuwa vinywaji nivipendavyo bia aina ya serengeti ya chupa ndogo na soda ya mountain dew kutoka pepsi (sbs). Hazipatikani tena, nimejitaidi kuzitafuta mbeya, dar na moshi...
FB owners wamejikusanyia pesa nzuri kwenye IPO @$38/share.
Mark Zuckerberg inasemekana utajiri wake sasa unamuweka kuwa tajiri wa 29 duniani
Soon inaanza kutrade kwenye secondary market (NASDAQ)...
TheChinese way of doing business
I am writing this newsletter from the city of Guangzhou (Canton)in China whereI have come to make business contacts with manufacturers but most importantlyto...
Naomba ufafanuzi kwa wale wenye taarifa sahihi. Kila mwaka benki ya DCB hutoa gawio la 50% ya faida baada ya kodi.
Mwaka jana kulingana na document zilizokuwa published kwenye magazeti kama...
Habari wanajamii!
Nawatafuta watu wenye mitaji ya kuanzia kama milioni 3 hivi tufanye nao biashara.
Biashara yenyewe iko namna hii ni kuzalisha umeme kwa kutumia machine ya kusaga...
Wote tunajua umuhimu wa Africa Mashariki, hasa ukizingatia kuwepo kwa rasilimali nyingi na rasilimali watu hivyo soko la
muungano huu laweza kuwa kubwa na lenye faida. Ili wajasiriamali...
Leverage the act of using people, resources or technology to increase output....
Wakuu kwenye biashara hatuwezi kufanya kila kitu wenyewe, outsourcing mara nyingi inalipa kama tu inakupatia muda...
The Social Security Regulatory Authority (SSRA) has finally launched guidelines which all pension funds will have to follow when planning investments in any project in a bid to protect members...
Mimi ni mzaliwa na mkazi wa kanda ya ziwa.
Kwa miaka mingi sekta ya usafirishaji wa abiria huku kanda ya ziwa imekuwa ikitawaliwa na waarabu kwa sehemu kubwa. Na hilo kusababisha ubora wa usafiri...
Hongereni kwa kazi wadau.
Nina mtanganyika mwenzangu yuko USA kimasomo. Katika muda wake huko angependa kufanya biashara ya vitu mbalimbali na watanganyika tulioko huku. Yupo kihalali huko na ana...
Mimi ni miongoni mwa mawakala ambao kilio chetu ni kufanya kazi bila malipo ( commision ).Toka mwezi wa 12/2011 sijapewa SECOND SIM kila ukienda kwenye Office za Vodacom hapa mjini Mwanza wanasema...
A Focus on Alaska, Norway and Nigeria. Read on at http://commonground-usa.net/cdann.htm. Baada ya kusoma nimejiuliza maswala kadha
1. Serikali inapata pato kiasi gani kutokana na maadini na...
Nimesikia kupitia tbc habari kuwa malawi itashusha thamani ya pesa yake kwa 50% ili kuokoa uchumi wake. Wadau wa masuala ya pesa naomba nifungueni nipate kuelewa ni kwa namna gani hii inaweza...
it was good to see students getting support from telecom company Tigo at the IFM career day held recently. With hundreds of participants streaming through, through out the day , it was a great...
ndugu wanajamii..nimeamua kuandika habari hii iliyonitokea mimi binafsi jana....
nina kituo cha kufanyia biashara ya TiGo pesa....na yupo dada anaefanya biashara hiyo.
kilichotokea jana..muda wa...
Habari kutoka Mtera zinaashiria kuwepo kwa upungufu wa maji ktk mabwawa ya Mtera na Kidatu ifikapo July, kutokana na mvua haba.
Wenye jenereta ni wakati wa kufanya service.
Wazee wa welding...
Nimepata nyepesi nyepesi kutoka ndani ule Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya upo katika hati hati ya kufilisika nasikia serikali haipeleki michango yake na imekopa na kukomba pesa ya Mfuko huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.