Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Juzi katika mihangaiko yangu hapa jijini Dar es salaam ilinifikisha katika Bank NMB tawi la Bank House makutana ya Samora na Mtaa wa Pamba. Nilipoingia ndani ya Bank nikashangaa kukuta watu kama...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Juzi nimeweka vocha ya buku nikaongea dakika 4 na sekunde 50 eti hela yote imekwisha ina maana haya matangazo mnayotoa ya shs. moja kwa sekunde ni uongo mtu maana hapo ni kama shs.3.50 kwa sekunde...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Wadau, Nimekua nikisoma kwenye magazeti mbalimbali pamoja na kusikiliza redioni kua Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linatarajia kuuza nyumba zake zilizoko mchikichini, ilala, Dsm. Niseme...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Starting a business that addresses the frustrations of customers can be one ways of identifying a business idea. If you notice that so many people are getting frustrated by something then you...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NSSF has now ventured into extending its services to Tanzanians living abroad through special Diaspora coverage scheme called Welfare Scheme for Tanzanians in the Diaspora - WESTADI Visit NSSF...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Uhusiano kati ya Ujasiriamali na Uchumi wa Nchi Mawazo ya kwamba kuna Uhusinao kati ya Ujasirimali na Uchumi yalikuwepo tangia zamani na hata Adam Smith aliongelea hili, Ujasirimali ndo chombo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanaJF,nina mpango wa kufungua ofisi katika mtaa flani katika jiji la Arusha,na ofisi itahusu computer repairs and maintenance,nimejaliwa sana kuwa competent katika kazi hii na ninaifanya...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Tumekuwa tukisema tunasaidiwa makaratasi yanayoitwa pesa miaka mingi na umasikini wetu umekithiri. Kuna haja ya kusaidiwa misaada thabiti ya maarifa, kama ni kuzalisha bidhaa muhimu ze nye soko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
AFRICA | Facebook 1. The Serengeti, Northern Tanzania The Serengeti National Park offers the absolute classic African safari setting. The migration of millions of wildebeest and zebra starts...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu.! Naomba tujikumbushe matangazo yaliyowahi kubamba sana hapa tz, pia yale ambayo yana utata tujadiliane kujua nini hasa ilikuwa 'idea' na ujumbe wa mtunzi. Lakini je yana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwananchi la leo wanasema “Alisema kuwa wataalamu wa ujenzi wa mradi huo watatoka nchini Brazil na kwamba tayari makubaliano yamekwishafanyika kinachosubiriwa ni fedha na kiasi kinachohitajika ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
je ungependa kutengeneza pesa online wakati ukiwa unaperuzi internet?? ni bure na rahisi mno -no credit card needed -no bank account details needed bofya hapa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji mawasiliano na watengenezaji / viwanda au waingizaji wa nywele bandia hapa nchini; Rasta, Weave na hair extensions yeyote aliye nazo aua anayezifahamu naomaba naijulishe tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahanini wana jf kuna mtu kanitumia hii link hapa kuna mtu alishai-visit anisaidie kama ina ukweli wowote? News Daily 7 - Work at home mum makes $10,397/month working part-time from home...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jumatano njema iwe kwenu wanajf kuna nyumba inauzwa arusha mjini eneo la matejoo. mita 300 kutoka barabara ya Arusha to Moshi. Nyumba ina pande mbili. upande wa kwanza una vyumba (4)single. upande...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hodi jamvini Wanajamvi mimi nina kitu kinanitatiza,kuna kitu huwa nasikia kuwa kuna miezi fulani hasa ya mwanzo wa mwaka biashara aina mbalimbali mfano maduka huwa ngumu kwa upande wa mauzo,kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wamiliki wa magari nyumba na mali zingine sasa katieni bima shirika la bima la taifa kwani linafanya vizuri sana sasa madai yanalipwa ndani ya siku 20. Achaneni na vikampuni vidogovidogo mtalizwa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
leo katika sherehe za mei mosi nimeshuhudia mfanyakazi wa Tanesko ambaye ni mwanamama akipewa tuzo na rais baada ya kuteuliwa na TUCTA kuwa mmoja wa wachapa kazi bora nchini. Hivi ni sahihi kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Go to this link for more info 1997 Subaru Forester For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified or call 0782568975
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu speed ya airtel ikizidi kuwa ndogo na gharama zake za internet zikizidi kupanda kwa wa tanzania, WAKENYA (airtel kenya) wanaendelea kufurahia speed kubwa na gharama nafuu za internet...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom