hali zenu wanajamvi. ni wapi naweza kupata mkopo wa milion 3 ili niweze kuemndeleza biashara yangu. me nipo mwanza ni mjasiriamal mdogo au mchanga ktk biashara. iwe ni kwa mtu binafs au kampun au...
pole kwa usumbufu niwapao kila leo, lakini yote hii ni katika kuelimishana na kupunguza misongamano ya kwenda kuulizia mahala husika kila ck, leo nahitaji nijue procedures za kufuata ili kuwa...
V Business IT Solutions can provide all kinds of open source customization and open source development for your project/Organization. Using open source platforms reduces your upfront costs and...
ndugu wana jf kwanza nawasalimu wote, mimi ni mjasiria mali mdogo nina nia ya kuanzisha karakana ndogo ya kuchana na kuranda mbao kwenye mji mmoja mdogo mikoani kwa wadau wenye uzoefu naomba...
Naomba mnisaidie NAHITAJI TWO RETURN AIRLINE TICKETS za Qatar Airways za kwenda USA Columbus Ohio,, kwa tarehe za mwanzoni ya mwezi wa sita
Please naomba zenye reasonable prices.. please contact...
Dr. A. Meru, Mkurugenzi mkuu wa Export Processing Zone Authority (EPZA), amesema utaratibu unaotumiwa na makampuni kubadilisha majina: mfano Sheraton kuwa MovenPick, Airtel kuwa Zain, Mobitel kuwa...
Nimesikitishwa na kitendo cha kampuni ya Airtel kupandisha gharama ya bundle kwa viwango vya kuruka kama ifuatavyo;
Receive:
Chagua Kifurushi cha
1. 25mb (Tsh. 1500)
2. 150mb (Tsh. 6000)
3...
Wapi Dar es salaam naweza kupata wataalamu wa kuandika MOU & Articles of Association
Je itachukua siku ngapi mpaka kuandikisha BRELA na kupata Leseni?
Kuandika MOU & Articles of Association ni...
The national flag carrier, Air Tanzania Company Ltd (ATCL), yesterday launched its website with a view to improving communication with customers and enable people access booking, flight schedules...
Mimi ni mmoja wa abiria tuliokuwa tunaelekea kanda ya ziwa leo hii kwa usafiri wa hawa ndugu zetu waliopata kujitengezea reputation nzuri hapa Tz. Katika hali ya kushangaza tumesimamishwa kwenye...
Ninauza gari aina Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive, automatic, 4 doors, power windows, engine 1.6cc, fuel Petrol, New tyres, valid registrations etc.
:car...
Wadau, ninatarajia kutua Tanga kwa Mei Mosi.
Naomba wenye uzoefu mnijulishe kuhusu hoteli zenye KIWANGO cha ukweli hapo Tanga.
Namaaanisha huduma bora, safi, salama, ya kisasa. nawasilisha.
Wananchi na wafanyabiashara tunalia juu ya HUJUMA zinazoendelea kudhoofisha ufanisi wa reli zetu. Lakini huu sasa si wakati wa kuendelea kulia tu. Machozi yakauke, tuchukue hatua za kushinikiza...
Nimekuwa na grocery kwa miaka 4 natumia friji na viti vyangu binafsi,kila nikiwaona ma salesman wanazungusha,wanataka kitu kidigo,hadi mabango anayekuletea anakuuliza utanilinda kidogo basi...
Wakuu kuna mdada anapenda kufanya biashara ya Bite anakuwa anapika na kupark fresh then anauza sehemu mbalimbali, so anataka kujua kwa ARUSHA ni sehemu gani wanatoa hizo kozi au wanafundisha...
wanajamii naomba ushauri kuhusu biashara ya kukodisha benzi za harusi zinalopa? Na kwa mfano ukipata order moja ya harusi ni shs ngapi? Naomba ushauri wenu wadau nafikiria kufanya hii biashara
Niliingia katika hiki kibanda ili nitoe pesa yangu katika account ya tigo pesa ndipo dada anaehudumia akaniambia hawezi nihudumia sababu anawaza kufungwa kwa wizi uliotokea kwani hana namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.