Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wana JF. Mie naishi Dar Mbezi.ni mfugaji mvuri wa ngombe wa kisasa. natafuta mteja wa kuumuuzia maziwa fresh kila siku nina uwezo wa kusupply kuanzia Lt 40 kwa siku. kama utapenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wakuu Hivi hizi email na Attachment za Lottery zina ukweli wowote wa kuwin hizo Pesa wanazoziandika au ni Usanii wa Internet..? Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale ndugu zetu waajiriwa wa TPA, International Commercial Bank tunarudi tena ili kuwawezesha wafanyakazi wenye permanent contract na kupata mkopo kati ya 5 to 10 mil. Vigezo ni rahisi na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
habar wanajamvi, lait kama gesi ya majumbani ingelikuwa inapimwa kwa kias kidogo km tupimavyo mafuta may b kilo moja na kuendelea. leo nimepata shida kwn nimeishiwa gesi afu ni ucku i have no...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Nimekuwa nikiwaza na kuwazua kuanzisha biashara mpya ya uzalishaji katika kujiongezea kipato endelevu, kuna mawazo kadhaa yapo mezani; kati ya Mengi linenivutia zaidi wazo la...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
NorriliaDricy
effect of valium Kentucky and migraine london aspirin reglan valium prevacid and valium US NorriliaDricy: Valium is approved to treat seizures. Recommend: can i take levaquin and valium...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
awe msafi, mcheshi, ajue kupika vyakula mbalimbali, awe mtulivu na awe mkazi wa MOSHI MJINI. kwa mawasiliano zaid ni pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nataka nianzishe biashara ya kutengeneza kadi za mialiko,harusi na shughuli nyingine. Nahitaji kujua wapi wanauza hizo card zile nzuri sana na ni expensive unaweza kukuta kadi moja buku tano na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tigo ni miongoni mwa kampuni kubwa za simu hapa nchini tangu enzi za "mobitel" "buzz" na sasa tigo. Ila kwa sasa wamekuwa walaghai/ waongo/ wajanja/ wezi?....... sijui ni waweke kundi gani? Ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
natafuta mafuta yanayoitwa biotin, jamani yanapatikana wapi? gharama?
0 Reactions
0 Replies
809 Views
I have noted with a lot of concern that TCRA who have the mandate to ensure that all simcards are registered before use have decided to remain silent thus creating untold hardships and loss of...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Jamani nimetumbukiza mguu kwenye hii biashara ya Pharmacy. Nimeanza kuonja joto ya jiwe, hasa kwenye upatikanaji wa pharmacists na ushindani wa maduka ya dawa baridi ambayo hayana vibali lakini...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wana JF kama kuna member anajua wapi panatolewa mafunzo ya VETA ya Kilimo naomba anieleweshe tafadhali. Nahitaji kujua pia mafunzo yanachukua muda gani na gharama zake. Maeneo ninayoyataka ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hey good people, i would love to start a small business venture in dar es salaam(mwenge or ubungo) i have a capital of 4 million TSH. Please i request anyone with market and demand knowldedge to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo ktk plka za hapa na pale mitaa ya posta nimekuta hiyo rate ktk bureau posta mpya nyuma ya gapco,wakat ktk zngne rate zinacheza 1602-1594.Swali langu wakuu,determination ya rate of exchange ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa vile am overweight,na kila nikipiita barabarani naona vibanda vya chips na kuku,nimeamua kuja na alternative....kuweka vibanda kibao vya kuuza salad na matunda.......jamani hii bussiness...
1 Reactions
3 Replies
987 Views
Hello! For the latest and madest website designs, hosting and registration services contact MICROTELECOMMS TANZANIA. Price ranges from TSH 700,000/= to above depending on the design and other...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninatafuta sehemu ya kufanyia biashara maeneo ya Arusha kwa ajili ya kufanyia biashara ya kuuza vifaa vya electronics. Sehemu hiyo iwe mjini inayoelekwa na rahisi kufikika hata kwa kumuelekeza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Napenda kuwajulisha kuwa vile vafaa vya fiber optics vinapatikana sasa hapa nchini kwa bei bora kabisa na vina warranty ya 2 years wadau. Details hapo chini FIBER OPTIC...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta hp photosmart c510a or 7510..naweza pata wap?n kwa sh ngap?..also ts catrge iz t easy refl?kwa anayejua pls!
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Back
Top Bottom