Habari mwanaJF hasa wa jukwaa hili la wajasiria mali, nikiri kuwa limekuwa msaada mkubwa wa mawazo kwa watu mbalimbali. Back to the topic; kuna ndugu yangu mhitimu wa chuo kikuu katika fani ya...
Furious Facebook.com investors have filed a lawsuit against founder Mark Zuckerberg, alleging he knew the business had been overvalued ahead of its flotation last month (May12).
Zuckerberg...
Habari wanabodi,
Jana Jumapili nilipokuwa nafuatilia taarifa ya habari ya ITV,nilifarijika kwa Mmiliki wa Makampuni ya IPP kutamka kuwa atayaorodhesha makampuni 2 pale DSE kwa hiyo watanzania...
Mwanzoni mwa mwezi wa tano Vodacom ilizindua huduma ya Wajanja ambapo iliwawezesha wateja wa vodacom kupiga simu kwa Tsh 1/4 kwa sekunde usiku, SMS Tsh25 kuperuzi Facebook & Twitter BURE hadi...
Guys
I have quickly reviewed the Financial Reports for 1st 2011 Quarter for Barclays Bank
and found some elements for things not going okay in there.
Tota assets have shrank for 6.5% while...
Habar toka ndani ya shirika hili inasema, katizo la umeme ni amri toka juu yao kwasababu zifatazo...
1. Kuruhusu wakubwa kuuza mafuta kwa wingi
2. Kuruhusu wahindi/wakubwa kuuza...
1. Do I have the foundation I need to start right now?The best time to prepare for launching your own business is while youre still working another job. With steady income as your safety net, you...
Wakuu naombeni msaada wa ushauri kwa mtaji wa tsh laki tatu naweza kufanya biashara gani yenye kulipa kwa mda mfupi hata kama ni ya uchuuzi kwani msingi wangu ndipo ulipo na namatumaini ya kuukuza...
Wanabodi,
TBC inautangaza Mkutano Mkuu wa African Development Bank, AFDB, live kutokea Ukumbi wa AICC Arusha.
Hili ni jambo la kustahili pongezi kwa TBC kuutangaza live mkutano huu muhimu but...
Habari wana JF.
nilikuwa na wazo la kutafuta watu wa kuungana nao katika kufungua ofisi ya uwakala wa usafirishaji hapa Dar es salaam , Tunduma na Kyela.
Mimi nina lori moja scania la...
:bange:Hi, wanajamii.
Natafuta fundi wa majiko yanayotumia mafuta machafu/ oil chafu na yale yanayotumia makaa ya mawe kwajili ya matumizi binafsi. kwa sasa nipo mbeya mjin lakin nitakua tayar...
I havent heard politician discusing about our hiking population growth. Let us discuss about whether population growth is beneficial or detrimental to economic development to the Tanzania economy...
BAADHI YA SABABU ZA HUDUMA MBAYA KWA WATEJA
SABABU ZINAZO PELEKEA HUDUMA MBAYA KWA WATEJA
1. Wafanyakazi hawajafundishwa
Hii inaweza kuwa ni sababu namba moja kabisa na kubwa ya...
Jamani naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu na ununuzi wa magari kwenye yard hapa bongo. Ninataka kununua gari aina ya SUZUKI GRANT VITARA, je ni yard ipi wanauza? Na je ni zipi faida na hasara za...