Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU.
1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
Napenda kufahamu jinsi wafanyabiashara wanavyonunua mbuzi toka kwenye minada mbalimbali eneo la Gairo, Kilindi, Handeni , Kilosa na Dodoma.
Kisha kuwasafirishq kupeleka kwenye kiwanda cha Nyama...
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)
Ni aidha
jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
Mbinu ya kukuibia wateja kwa...
Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je, umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na, ulifanyaje kufika hapo.
Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo...
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es...
Habari Wana forum,
Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo...
Ndugu na marafiki, habari za Jumamosi ya leo, Tarehe 02/09/2023.
Ndugu zangu, leo napenda kutoa elimu moja juu ya sarafu za mataifa mengine, bila kusahau sarafu yetu ya shilling.
Zipo sarafu...
Habarini WanaJF.
Naomba mwenye best way ya kuinvest money na KUPATA hata 5% of it per month anisaidie maana nilijaribu kuweka tigo pesa kibubu tsh 300,000 TATU na KUPATA gawio la tsh 600 kwa mwezi.
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.
Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja.
Mambo ya customer...
Habari yenu wakuu!
Mimi ni kijana na miaka 20 nimeona nikajifunze ufundi cherehani(tailors) ili badae nijikim mahitaji yangu.
Sasa lengo la kuja hapa naomba mawazo na ushauri wenu ladies and...
Niaje pande hizi wakuu? Bana me mgeni kidogo kwenye haya maswala na nilitaka kufahamu jambo kuhusu Payoneer, Ni kiasi cha muda gani inatumia mpaka pesa kukufikia ukiwithdraw direct kutoka payoneer...
Je unaujua ufuta au umesikiakuhusu ufuta km unaujua Wacha nikujuze zaidi km ujui Wacha nkujuze, ufuta ni Zao linalolimwa zaidi kusini mwaTanzania mikoa ya ya Lindi na Mtwara zaidi unalimwa mkoa wa...
Habar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam...
Habari wakuu, ninampango wa kununua mashine ya kukamua juice ya miwa naombeni mawazo yenu, ushauri na changamoto.
Malengo yangu ninunue mashine niikodishe kwa kijana, nitafute site kariakoo Dar...
Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote.
Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa...
UTANGULIZI
Ni kwa njia ya michezo ya kubahatisha yaani betting.
Wengi watasema betting ni kamari, sawa, lakini kwa bahati mbaya au nzuri kila kitu maishani ni kamari especially kwa sisi ambao...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama...
Nchi ya ovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.