Wanajamvi,
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya.
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
Mbunge wa Momba Condesster Sichalwe ameishauri Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Uchukuzi waone namna ya kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ili kujenga barabara...
Jamii Forum : Biashara 📊
Fahamu Elimu ya Usimamizi wa Biashara
Itakuwa ni course ya Mchongo darasa lake ni hapa hapa Jamii Forum.....
Tutaiita MBA ya Mchongo.
Masters of Business...
Habari ya wakati huu wakuu. Nimerudi tena ili tuweze kukumbushana baadhi ya mambo ambayo ni muhimu katika uendeshaji wa kampuni zetu
Kufikia leo tarehe 4 mei tumebakiwa na takribani siku 57...
Habari zenu wanajamvi!
Nahitaji msaada wa kuandika mpango wa biashara. Kwa sasa sina pesa ya kulipia. Nitakuwa vizuri kifedha mwezi July. Nimeandika kwa 90%, mpango mzima. Mpango wangu wa...
Naomba kujua utaratibu wa kuendesha ofisi ya welding na seremala kama boss si fundi wa hizo fani,jinsi ya kuwalipa welders na mafund wengne.
(NB mashine na vifaa vingne vyote vya boss)
Wakuu salaam,
Hakika hii itabakia katika kumbukumbu zangu,nimejalibu kufupisha tiririka nayo.
Katika harakati zangu za kazi nilifanikiwa kupata dili flani niliingiza pesa yakutosha nilimtembelea...
LEO BUNGENI - Wizara ya Viwanda na Biashara
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameongelea bidhaa zinazozalishwa Mkoani Mara, na umuhimu wa ujenzi wa viwanda zaidi ya kumi...
Nayashauri haya makampuni makubwa ya simu kunzisha fixed account ambazo tutakua na uwezo wakuweka pesa tu bila kutoa hata iwe mvua liwake jua kwa kipindi cha mwaka na zaidi.
Mteja apewe options...
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3: Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Mwaka 2023 kama unamalengo ya kufanya jambo lako na lengo lako ni kutumia kibubu kiwe cha bati au cha mbao, njia salama ya kuhifadhi pesa bila usumbufu ni kufungua accounts zifuatazo;
Tigopesa...
Habar wana jamii forum polen na majukumu leo nimeona nije na hii mada ngumu naomba kwa wenye uzoefu mnipe mbinu na changamoto za hii biashara
Nina mpango wa kufungua kiwanda cha PET BOTTLE...
Habarini Wana JF,
Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU.
Mtaji laki tano
Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura.
Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Shipping line wamepandisha bei ya kusafirisha mizigo katika kile kinachoitwa sababu zisizozuilika.
Taarifa zao hizi hapa
Toa maoni yako
MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni...
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.