Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood!
Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu...
Ni muhimu kusoma:
Siku za hivi karibuni, nimekua nikipokea simu za watu wengi kutoka Tanzania bara hususan mikoani.
Hii imetokea baada ya kupost makala moja inayoelezea kuhusu bei za bidhaa za...
Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi.
1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu...
Naomba kuuliza:
Hizi rasilimali zote za milima na mawe je tunapondea tu kokoto? Au kuna kiwanda kinatengeneza bidhaa kama hizi.
Tungeweza kutumia fursa kutengenezea fanicha imara sana.
Mambo ya...
Wakuu,
Nimeona haya madude siyaelewi nataka siku moja niwe mmoja kati ya wawekezaji au wana hisa katika haya mavitu.
Je, mnaruhusiwa kuwekeza kama kikundi?
Wakuu habari?
Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi...
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa
Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe...
Asalaam wana JF,
Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea...
Kwema Wakuu!
Kuna aina tatu za Maskini.
1. Maskini wa kutupwa (Fukara)
2. Maskini wa kawaida
3. Maskini aliyechangamka.
1. Maskini Fukara
Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao...
Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...
Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni...
Vijana wengi wanatamani kufanikiwa katika Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe, ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio ya harakaa...
Hello,
Nmepata changamoto kidogo katika transferring ya money and the only option I'm left with ni kutumia crypto system, bad though am not good at using it
Any recommendations, procedures and...
Habari WanaJF,
Natafuta kazi ya udereva boda boda ,uvuvi na yeyote ile kikubwa inipatie kipato cha kujikimu, umri wangu ni 24 naishi hapa Dar pia Nina ELIMU ya chuo kikuu upande wa education in...
HABARINI ZA LEO WADAU WANGU.
Labda nirejeshe salam za upendo kwa mlioniombea wakati sina kazi na hatimaye nimefanikiwa kupata kazi kwenye taasisi kubwa sana katika Taifa hii.Hakika ni taasisi...
Mambo vipi ndugu zangu,
Nimepewa jukumu la kusimamia lodge yenye PUB pembeni, hii biashara bado mpya ndio kwanza inafunguliwa mwezi ujao, BOSS ananitegemea kwenye kila kitu kuhusi hii biashara...
Msaada kwa wenye uzoefu wa kuagiza mizigo China kwa kutumia ndege...ni agent gani mzuri ambaye anapokea mizigo kutoka kwa suplier na kuufukisha Tanzania kwa uaminifu na chargers zake per kg zikoje...
Habari Wana jukwaa, poleni na majukumu ya hapa na pale namuomba mungu awatilie wepes kwa Kila jema mfanyalo katika harakati zenu
Kama kilivokichwa cha habari, Mimi ni mjasiriamali chipukizi Nina...
Habari wakuu!
Leo nimepita maeneo ya Kinondoni kuna kitu kimenishangaza sana,miezi kama sita iliyopita nilikunywa bar moja inaitwa Jacaranda bar pembeni yake ipo bar nyingine inaitwa uhuru peak...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.