Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wanajamvi, Naomba ushirikiano katika ushauri wenu wa biashara hii ya Mchele. Kutoa pale Mbeya kupeleka Zambia kwa mtaji wa Milioni 5, nimesikia kua Zambia biashara hii inalipa
6 Reactions
38 Replies
11K Views
Apongezwe huyu mama alieamua kutumia nishati Safi ya umeme katika biashara yake ndogo ya chips ili kujikwamua kiuchumi. Umuhimu wa nishati Safi ni. . Huokoa muda katika kuhudumia wateja. ...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Wadau kama nilivokwisha kutoa habari hapo kabla ya kuwa na nia ya kuja kuishi mwanza, hatimae nimetimba kibabe takribani zinakatika wiki mbili... Kwasasa niko maeneo ya Buhongwa Nyamagana ila cha...
1 Reactions
13 Replies
512 Views
Habari za majukumu watanzania wenzangu; Kwa leo napenda niwajuze kitu kimoja ambacho kikazingatiwa kinaweza kuleta mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi ndani ya muda mfupi kwako na kwa jamii...
17 Reactions
197 Replies
123K Views
Bia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa...
14 Reactions
65 Replies
25K Views
Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache?? Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache?? Nitajie nchi...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks. WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO...
8 Reactions
961 Replies
445K Views
Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wengi kufanya matangazo yao kwa ajili ya kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia mitandao ya kijamii (Hasa hasa facebook na...
6 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za muda huu.., nakuja mojaKwamoja kwenye mada kuna gari ya Home ni ya mshua aina ya noah nataka nianze kupiga ruti za kutafuta hela ila sijui paKuanzia. Nipeni ruti za kupiga hela au kama...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara. 1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu...
5 Reactions
14 Replies
668 Views
Aisee naomba unisaidie kama unamjua mfanyakazi yeyote wa CRDB basi naomba nisaidie kumuulza haya maswali. 1. Nikiwa nataka kufungua account mpya ya CRDB naweza kupata card siku hiyo hiyo? 2...
4 Reactions
9 Replies
803 Views
Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28. Msaada tafadhali.
2 Reactions
37 Replies
875 Views
Naomba kujua ukinunua nyumba, zile garama zinazotumika kuandaa nyaraka au kumlipa mwanasheria zinajumlishwa kwenye gharama za ununuzi au ni matumizi gani?
0 Reactions
6 Replies
317 Views
Naongea sana mambo yasio serious humu jukwaani ila ngoja nifunge mwaka kwa kuongea sense kdg. Kuna nyuzi humu zinaongelea mambo ya UTT na Bonds, niwaambie ukweli haya mambo ili ikulipe kwa zile...
16 Reactions
13 Replies
2K Views
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu. Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi...
5 Reactions
19 Replies
867 Views
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg...
9 Reactions
106 Replies
11K Views
Mwenye kujua ufugaji wa kuku za mayaye sehemu ya pwani hususani Dar es salaam kati ya kuku 10,000 hadi 50,000 tafadhari atuelekeze tuende tukajifunze kabla ya kuanza uwekezaji tusije tukapoteza...
0 Reactions
5 Replies
298 Views
Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali...
3 Reactions
4 Replies
715 Views
Mimi ni kijana mdogo bado, ila nataka nijiajiri mwenyewe kwa manufaa yangu ya badae Niko hapa kuuliza ili nijue kiundani zaidi kuhusiana na biashara ya mafuta ya kupikia Je soko lake lipoje? Ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom