Hili suala liko wazi kabisa.
100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete.
Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine...
Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya
Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:-
01. Usiwe na haraka kwenye kufanya...
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya viungo, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo:
1) Bei ya kilo moja kwa kila kiungo huko mashambani.
2) Bei kwa kilo moja mpaka inafika Dar es salaam.
3)...
Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida...
Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi...
Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya...
Wakuu habari zenu.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho...
Habari wa jf
Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku.
Naomba mwenye uzoefu...
Kuna wimbi kubwa la wafanyabiashara na biashara kwa ujumla kwa maeneo ya Mbagala kata ya Chamazi: Hii ni kutokana na nyomi la watu:
Siku hizi kumekuwa na biashara nyingi sana, sasa kwa anaeogopa...
Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo...
Habari zenu.
Kuna jamaa anaitwa Harry Mwijage huwa anaonekana sana kwenye mitandao ya kijamii akihamasisha vijana wapambane katika biashara na shughuli nyingine
Kwa anayemjua atusaidie huyu...
Kadiri mabadiliko ya tabia nchi yanavyoongezeka ndivyo mwanadamu anavyotafuta mbinu zaidi za kujihami.
Sasa hivi upo mpango wa kutoa malipo kwa Watz waliopanda miti kwa wingi ktk eneo moja. Kwa...
Ukiona maisha yako hayaeleweki eleweki, kupata milo miwili au mitatu ni shida, juwa una mapungufu katika hivi vitu vitatu:-
Uaminifu
Kujituma
Unaona aibu
Wapo watu wengi wana mitaji midogo...
Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote.
Bajeti ya sista kwa picha...
Amani iwe kwenu,
Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.
Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
Tahadhari: Mawazo haya yanatikana na Imani yangubkubwa katika:
1. Biashara shindani, Yaani bila ushindani, biashara lazima itadorora.
2. Jamii imegawanyika kwenye matabaka mbalimbali, mfano...
Wakuu Asalaam,
Leo nimeamka na majanga, kiwanda changu kidogo kimeungua Electric motor yake
Naomba kujua Motor ya HP 20,25 na 30 zinauzwaje na eneo zinapopatikana kwa mtaalam.
Nashukuru kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.