Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana. Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Waziri wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde amesema Tanzania tuitakayo Mwaka 2050 ni ile ambayo Watanzania watakuwa vinara kuiongoza sekta ya madini na kunufaika na sekta ya madini na hivyo...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Na Bwanku M Bwanku Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa. Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Nijielekeze kwenye hoja. Serikali ilikuja na Mpango mzuri sana wa kukusanya kodi za majengo kupitia matumizi ya Umeme (Luku) Ulikuwa ni mpango mzuri sana kwakua hakuna mtu...
2 Reactions
19 Replies
692 Views
Jaman naomba mwenye kufahamu gharama ya kufungua saloon ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani naumba mnisaidie.... Barber shop clasic bajet ni kama ifuatavyo 1.viti vya saloon clasic @1...
1 Reactions
482 Replies
279K Views
Wakubwa mambo vip? Mwenye uzoefu wa biashara ya saloon ya kiume naomba asaidie kushare faida na hasara au changamoto kwa ujumla za biashara hii. Asanteni sana
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za usiku ndugu zangu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote mwenye uelewa juu ya uwekezaji katika taasisi ya serikari UTT. Hizi bond fund na liquid/ukwasi zinatofautiana vipi ukiwekeza huko...
4 Reactions
47 Replies
18K Views
Shimo la choo likijaa naonaga kuna dawa zinatangazwa zinazozibua choo kikiziba, nazihitaji wakuu, napataje Mfano hapo chini.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Toleo la Kwanza, Agosti 2021 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Nyenzo...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto. Yani...
5 Reactions
9 Replies
751 Views
Wanajamvi naomba kuuliza kwa wenye ufahamu wa hizi mashine ubora wake na bei zake najua baraza hili hakuna jambo linaloshindikana
1 Reactions
5 Replies
430 Views
Wazee mambo vipi? Natumaini mko vizuri sana na mungu anaendelea kutulinda. Sasa Naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza simu.
2 Reactions
8 Replies
749 Views
Nahitaji track suit pair 200 Umri 3-5 pair 140 Umri 6-8 pair 60 Na form six tshirt ( rangi yellow/dark blue) kwa rika na idadi hiyo hiyo hapo juu Kwa biashara call me 0687391885
4 Reactions
6 Replies
366 Views
Machimbo ya nguo na viatu kwa bei nafuu mikoani Habari za muda huu wakuu, Leo tushirikishane machimbo ya nguo za kisasa, ziwe special ama mtumba zinazouzwa kwa bei nafuu kutoka kona mbalimbali...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Unakaribishwa Niko Mbeya
4 Reactions
15 Replies
625 Views
JF wasaalam, Kwa muda mrefu sasa najionea Kwa macho yangu wafanyabiashara wa Nchi jirani wakinunua nafaka vijijini. Karibia Kila Nchi inayotuzunguka wafanya biashara wa mazao wamekuwa wakiingia...
4 Reactions
29 Replies
978 Views
Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume age 29 baada ya michongo kwenda vibaya nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4 nikatafuta frame ya mtaani nikapata ila issue ni kwamba...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJf, ninaulizia kwa yeyote mwenye connection za machimbo ya nguo Nairobi aniunganishe nayo. Nimesikia Nairobi kuna sehemu kama Eastleigh, Kamukunji na Dubois ambazo ni kama...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za...
1 Reactions
6 Replies
868 Views
Nina Tsh. 800,000 kama akiba imekaa tu, kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua sasa wakuu nimebaki na hii Tsh. 800,000 nahitaji kuizalisha nifanye nini kwa hiki kidogo nilicho...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom