Habari za jioni Watanzania
Poleni na mihangaiko ya maisha
Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza
Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings...
Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza...
Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali...
Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji...
Habari wadau, kama nilivyo eleza hapo awali nahitaji mawazo yenu kuhusu biashara ya kufanya kongowe pwani kwa mtaji wa laki 5.
Pia soma Nahitaji ushauri nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani?
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemshauri Mbunge wa Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kushirikiana na Mamlaka husika ili kuangalia uwezekano wa ujenzi wa Kituo cha Forodha cha...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na shughuli za ujenzi wa Taifa.
Kwanza kabisa nianza kwa kuanza kuwapongeza wote ambao mnapambania Biasha zenu.Mungu awasimamie...
Je, umechoshwa na njia za kawaida za kutangaza bidhaa zako ambazo zinakula bajeti yako na kukupatia matokeo kidogo?
Je, unataka kuwa na mtandao mkubwa wa wateja ambao wapo tayari kuvunja kibubu...
Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai.
Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to...
Iko hivi;
Kuna dada fulani hivi tuliwahi kufahamiana huko nyuma, alinipigia simu na kunijulisha kwa kina kuwa kuna mchongo fulani hivi kashawishika kujiunga nao ni wa Q-net. Wenyewe unatakiwa mtu...
Moja ya sababu kubwa ambayo watu wengi husema kwamba inawazuia kufanya biashara ni mtaji. Mimi huwa nakataa sana sababu hii kwa sababu haiwezekani leo huna mtaji, mwaka kesho huna mtaji na hata...
Habari wakuu , kuweka record sawa ni kuwa haya hapa chini ni malengo yangu ya mwaka 2023 ikionyesha MAKADILIO ya kipato , MATUMIZI,na MALENGO yangu dhumuni kuu likiwa kuweka kumbukumbu binafsi na...
Salaam Wanajukwaa
Kama ilivyo desturi yetu Wanajf kujuzana, kuelimishana nk..
Leo ningeomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu je kwa mtaji wa Milioni 2 naweza fungua biashara hizi mbili
1.Saloon ya...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Twaha Mpembenwe amesema kuwa Uchambuzi wa Kamati ya Bunge ya Bajeti umebaini kwamba watumishi wengi wa Serikali wanalipwa mishahara midogo...
Ndugu zangu poleni kwa majukum ya hapa na pale,
Naomba niende kwenye point Moja kwa moja
Ktk pita pita zangu za hapa na pale nilijikuta nikizunguka ndani ya mkoa wa Manyara,
Manyara ni moja ya...
wakuu habari zenu,
Naomba kupata uzoefu, ni site gani nzuri ya online shopping,kati ya amazon,ebay, na aliexpress, kwa kununua simu ambayo nitakua na uhakika wa mzigo wangu kufika.
Huwa natumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.