Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Jamani naombeni msaada mtu ukiwa unalipwa 700k kwa mwezi ni sawa kulipa kodi 100k kwa mwezi na hujaoa umepanga chumba na sebule ?
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wadau Ufuatao ni muendelezo wa mada niliyoandika siku kadhaa zilizopita yenye kichwa - Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment) Mada hii ni...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha...
3 Reactions
1 Replies
401 Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwenye website yao sioni hata sehemu ya kulog in. UPDATES : Friday 31st Leo nimeenda ofice za UTT hapa mwanza. Kwa maelekezo mdau alinielekeza zipo JB BELMONT...
7 Reactions
187 Replies
5K Views
Habari za wakati huu, NI matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na kudumu katika ujenzi wa taifa lenu.Kama ilivyo ada leo nimeona nilete mjadala kuhusu soko la HISA la Dar es Salaam.Msingi wa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London. Benki ya NMB imetanua wigo wa...
47 Reactions
234 Replies
7K Views
Naomba kuuliza Ili kufungua ofisi za mkopo Unahitaji Nini na nini? Kwa mawasiliano Zaidi 0678035103
3 Reactions
9 Replies
532 Views
Nimetokea kupenda sana kufanya kazi ya kupiga picha kwa sababu nimekuwa nikitumia sana simu kuwapiga watu picha na wamekuwa wakipenda sana kwani ninawapiga picha vizuri sana. Mimi kipato changu...
1 Reactions
4 Replies
376 Views
Asalaam, Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo. Ahsanteni.
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, ukweli ni kwamba tangu suala la kuagiza Dreamliner lilipotangazwa, niliingiwa na wasiwasi sana juu ya uwezo wa ndege hii kujaza abiria kwa safari za ndani na nje. Wasiwasi wangu umezidi...
5 Reactions
50 Replies
8K Views
Habari wana jukwaa. Nina wazo la kufungua duka la kuuza simu lakini sijajua nitaanza na mtaji kiasi gani. Kwa wenye uzoefu msaada wa mawazo unahitajika tafadhali.
2 Reactions
24 Replies
23K Views
Wakati serikali inajitahidi kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana kwa kutoa mikopo nafuu kwa vijana kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza biashara na shughuli mbalimbali za ujasiriamali...
2 Reactions
4 Replies
371 Views
Chukulia wewe ni mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa kwenye biashara yako na hivyo unafahamika kwa watu wengi. Siku moja unapigiwa simu na namba ngeni, na baada ya kuipokea, aliyepiga...
3 Reactions
28 Replies
632 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye haya maisha ni labda utajipanga ili uweze kupata kile unachotaka au utapagwa na wengine uwasaidie kupata kile wanachotaka. Ni uchague kupambana kufikia kusudi na...
2 Reactions
4 Replies
483 Views
Roho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara, lakini huruma inaua biashara kwa kiasi kikubwa Chagua moja apo
5 Reactions
16 Replies
422 Views
Habari za muda huu wadau. Pole kwa majukumu Niko hapa naomba ushauri kuhusu biashara ya min Hotel. ningependa kujua kuhusu; -jinsi ya kuandika business plan na proposal -location kwa mkoa wa...
1 Reactions
2 Replies
786 Views
Nguvu ya KIAPO. Habari ya asubuhi mpendwa wangu!!!! Ni matumaini yangu uu, buheri wa afya. Namtukuza Mungu kwa ajili yako. Rasmi kabisa nakutaarifu, juu ya ujio wa riwaya yangu mpya iitwayo...
1 Reactions
2 Replies
318 Views
Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko. Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani...
2 Reactions
4 Replies
418 Views
Jamani naombeni mnisaidie kwa wenye uelewa juu ya jinsi ya kuwa agent wa azam ice cream[emoji120]. Au kama kuna contact yoyote ya expert please mnisaidie.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom