Habarini wakuu
Naomba tushirikishane kwa kutoa mawazo na maoni mbalimbali haswa kwa wenye ufahamu kuhusu hoteli za nyota tano, na pia wajenzi na wakandarasi ambao wana uzoefu wa kujenga majengo...
Habari wakuu
Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money!
Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona...
Mimi ni mjasiriamali mdogo nipo kijiji ambacho Kuna shughuli za uuzaji pombe jina maarufu ubanda, naomba kupata mawazo ya biashara ambayo itaendana na mazingira hayo.
Nipo tayari kupokea mawazo...
…Najua hadi hapo Ulipo utakuwa Umesikia, Umejifunza na Kusoma vitu vingi sana kuhusu Biashara.
.
Utakuwa Umesikia kuwa…
.
Biashara huwa ni kwaajili ya Wachanga na Wakinga Tu…
Kwenye Biashara...
Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia...
"Ifahamike mpaka sasa tunaposimama kama Wabunge wa Mkoa wa Kigoma bado mahitaji yetu hayajatekelezwa ndiyo maana tunasimama kukumbusha na kuieleza Serikali sikivu ili iweze kufahamu namna gani...
Nina mpango wa kufungua store ya mchele Dsm...sipo kwa muda wa miaka 3 ...
Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa...
Katoro mji uliopo ndani ya Geita, Mangi alikuja hapa miaka 6 iliyopita leo nimefika tena kwakweli mji unakua kwa kasi, kama unamtaji wako mzuri na ulitegemea kuinvest lakezone bila shaka Katoro...
Wakuu Poleni na majukumu, moja kwa moja Mimi Nina shida ya pesa. Lakini nimepata ushauri kwamba kama nahitaji kukopa basi nitafute Saccoss maana wanasema Saccoss ni nzuri zaidi kuliko bank au mtu...
Wasalaam wakuu,
Easter Ndio hyo Inaisha. Back to the Basics.
To The Point
Ebana nina mtaji wangu flan nimekua nikidunduliza hela za change kwenye bata [emoji16]Lol zimefika kama Tsh 5M+...
Natafuta wazo la biashara ambalo lina almost Zero management.
Kama mjuavyo biashara au uwekezaji unahitaji management la sivyo hasara utakula mchana.
Katika fikiria fikiri nimeona
BIASHARA YA...
Niliepo mbele yenu ni kijana mpambanaji, naombeni mnisaidie mawazo ya biashara ya mtaji kuanzia milioni moja hadi milioni tano.
Kazi yangu ya awali ilikua ni dereva bajaj, nimeifanya kwa muda na...
WanaJF, nawasalimu nyote!
Ninaomba anayeijua vizuri tofauti iliyoko kati ya mifuko hiyo miwili anijuze!Ninaomba ninapofafanuliwa hilo nijibiwe maswali haya: UPI ni bora kuliko mwingine?Upi...
Wafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto...
Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000.
Aisee...
Habari zenu mimi nauza carton za karatasi size A4 gm 80 Bei sh.57,000 mawasiliano 0714954609 pia mikoani natuma bila tatizo na kwa uaminifu.Nyote mnakaribishwa.
Hello ladies and gentlemen
I guess all you are fine
Dear m niko na kitu nauliza iv n biashara gani unaweza kuifanya kwenye Makambi ya wasabato ??
Thanks na karibuni kwenye Makambi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.