Habari wanaJF,
Ni mimi tena. Nimekaa nje siku nyingi sijapost, lakini nimerudi tena mchezoni. Changamoto za hapa na pale, lakini nothing that I couldn't handle, by God's grace (hakuna...
Habari, hii taarifa nilishawahi kuandika siku 3 au 4 zilizopita sasa baada ya watu wengi kutoelewa na kuhisi vibaya nimerudi kuweka KILA kitu wazi fursa zinazopatika kwenye msimu huu wa mavuno ya...
Mimi ninauza genge la mboga mboga na matunda.Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa biashara katika masoko ya jijini Dar es salaam kama Mabibo, Buguruni, Temeke, Stereo na Ilala.
Katika...
Ni mzigo mkubwa wa bati ngumu za mageti (Sheets)...
zina urefu na upana sawa wa futi nane kila upande,Zipo nne, lilikuwa banda hivi sasa nimelikata kata sasa nalihamisha kutoka huko mkoani mwanza...
Wataalam wa maeneo hayo naomba ushirikiano wenu
Kuna mgeni wangu anataka kufikia mitaa hiyo
Sasa kama kuna mtu anajua hotel mzuri au lodge mzuuuuri ambayo kuna restaurants na vibia kidogo
Katika ulimwengu huu wa sasa teknolojia imekua kubwa, baadhi ya vijana wamejiajiri katika blogging, youtube, n.k.
kwa hapa kwetu wapo a aina mbili
Aina ya kwanza - kwa upande wa bloggers wengi...
Kwema wakuu,
Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa...
Anaandika, Robert Heriel
Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete!
Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za...
natafuta partner wa biashara ya samaki anayeweza kufanya biashara na Mimi ya Samaki kutoka ruvu upande was Simanjiro Manyara
Sifa
awe na uzoefu wa biashara ya Samaki ayajue masoko
awe na...
Nikilipa napeleka risiri TRA? Kuna cheti napewa kama ilivyo kwa tax clearance?
Kuna namna ya kuipunguza? nini madhara ya kutolipa?
Mwisho ni lini napaswa kulipa ?
Habari ya leo wanajf!
Nina imani mko salama salimini! Ninaomba mnisaidie namna nzuri ya kuijua faida ya kwenye duka! Ninaomba mfikirie pia hali hii kuwa vitu ndani ya duka kila kimoja kina faida...
Mwishoni mwa mwaka jana, baadhi ya bidhaa, hasa zile zinazotumika kupika vitu mbalimbali, zilikuwa na bei ya chini. Hata hivyo, mwanzoni mwa mwaka huu hadi mwezi wa tatu, bei ya bidhaa hizi...
Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN.
Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu...
Rafiki yangu mpendwa,
Watu wengi wanaposikia soko la hisa, huwa wanadhani ni kitu kikubwa na kigumu sana ambacho hakiwahusu wala hawawezi kukielewa.
Lakini huo siyo ukweli, soko la hisa ni kitu...
Rafiki yangu mpendwa,
Kuna watu huwa wanabana sana matumizi, wanakuwa na ubahili mkubwa kwenye fedha zao, lakini bado wanashindwa kujenga utajiri.
Watu hao huwa wanajisifia mbele ya wengine...
Kuna mchele unauzwa na kampuni ya Korie wanaita mchele wa mbeya upo kwenye package ya 5kg, huu mchele ni utapeli mtupu wamepack mchele wa kitumbo halafu wanaubrand kama mchele wa mbeya ili wauze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.