Habari wana jf.
Kwenye harakati za utaftaji kuna mapito mengi Sana mtu anapitia mpaka anatoboa,Kuna watu wamepitia msoto mkali,wamekutana na changamoto sio za nchi hii,Kuna wakati unajiona...
Nilikuwa naomba kuuliza, kuna hawa wanajiita UKG walikuja kwenye inbox yangu kuna kitu wanahitaji kunishirikisha ni kitu kizuri, lakini ninachotaka kujithibitishia wasije wakawa matapeli.
Msaada...
Jamaa ni kama wametumwa kutoka kuzimu kuondoa amani ya watu duniani.
Ni kama mashetani, nahisi hata zilipo ofisi zao ni sehemu ya kificho.
Wanajua kukera mno.
Hawaelewi chochote zaidi ya fedha...
Wakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara.
Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi...
Hello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi.
Mazingira ni Dar es salaam...
HABARI WANAJAMII,
NAUZA LODGE YANGU IPO WAZO HILL,KISANGA ROAD INAVYUMBA 11 VYOTE SELF AC,HEATER NA TV.
NJE KUNA KAUNTA,CHOO,JIKO NA PARKING
UKUBWA WA ENEO 1600 SQM
MATARAJIO YA MAUZO KWA SIKU...
Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck),
Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu...
Jaman wapwa msaada JINSI ya kufanya malipo ya bidhaa kwenye Alibaba, AliExpress na nyingine Kwa urahisi kama ilivo kwenye kiApplicaton Cha Kikuu
Please [emoji3064]
Hongera Kwa METL kwa kufanikiwa kupata mkopo huo, ama kweli mwenye nacho ataongezewa... mkopo huo ni kutanua wigo wa biashara yake Afrika Mashariki , kwa usaidizi kutoka benki ya RMB.
Benki hiyo...
Wakuu kwema.
Kwa niaba ya kaka yangu ambaye ni mmiliki wa car wash maeneo ya miti mirefu karibu na kabisa katoloki Geita napenda kuwatanganzia kuwa,car wash inauzwa kiasi cha million 5.
Vitu...
Amani ya Mungu iwe juu yenu
Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting.
Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni...
Nataka nifanye biashara ya microfinance nikiwa na leo ya kusupport biashara ndogo ndogo kukuza biashara zao, ila nataka nianze kwa mtaji mdogo na watu wachache nichunguze upepo wa biashara.
Swali...
Leo, wafanyabiashara wa Kariakoo wamesitisha shughuli zao kwa pamoja kwa kugomea kodi na ukaguzi mkali, hatua ambayo imesababisha maduka kufungwa na kuathiri biashara kwa kiasi kikubwa. Mgomo huu...
Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Kutoa Mafunzo Kusaidia Sekta ya Afya, Elimu na Uchumi
Tarehe 27.6.2024 Mwanamke Initiatives Foundation chini ya Mkuregenzi wake Mhe. Sabra Mohammed. Imesaini...
WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA
-Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari
-Ampongeza Waziri Mavunde...
Ongezeko la Technology limefanya profiling ya mkopaji kuwa huru na kufanya mtu kuweza kukopa online kwa kutumia mitanda kumekuwa na mitandao au apllication nyingi sana ambazo zinatoa mkopo pindi...
Hizi Apps za online loan zimekuwa kero zinakopesha pesa ndogo Kwa riba kubwa ukichelewa kuwalipa unaongezewa penalty kubwa sana.
Yaani imekuwa changamoto maoni yangu kwa serikali wazicontrol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.