Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali...
Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k.
Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama...
Wadau naombeni maarifa.
Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?
Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA.
Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni...
Habari Wana jf.
Naomba kueleweshwa kuhusu makadirio ya Kodi. Nimeanza biashara ya vipuri vya pkpk takribani mwaka mmoja sasa.
Mara ya kwanza kwenda t.r.a nilikadiliwa 89000 na mwaka huu nimerudi...
Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa...
Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE.
Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers.
Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi...
Habari wa JF,
Samahani nina swali kuhusu upatikanaji wa leseni ya biashara .Iwapo nina TIN number.
Je, ni documents gani natakiwa kuwa nazo ili kukamikisha upatikanaji wa leseni na pia muongozo...
The Tanzania that i want in the next 25 years on my views openly, i want a Tanzania with less unemployment problem or decreased number of unemployed civilians of Tanzania in our country...
BUSINESS PLAN 01: FISH FARMING
note source ni nyingi 👨⚕️.
Kuanzisha biashara ya ufugaji samaki nchini Tanzania inaweza kuwa mradi wenye faida kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya samaki kama...
KATIKATI nguvu ya KIAPO.
Muuguzi aliyesalia nami katika chumba kile cha matibabu, haraka sana alinikimbilia na kuniita jina langu. Alitabasamu na kuniambia "karibu" binafsi nilizidisha mshangao...
Serikali ilete majibu ya pesa Tilioni 280 zimeibwa na nani?
My Take
Tukiwa na wabunge wadadisi kama Mpina Nchi itanyooka tuu.
---
MBUNGE LUHAGA MPINA ALIA NA UHABA WA DOLA
"Sekta ya fedha hapa...
Habari zenu wakuu, hapa nilipo nina shida na 15k ya haraka. Kuna app nyingi za kutoa mikopo ila kuna sharti naona sijakidhi.
Wanataka niwe na kitambulisho cha taifa (NIDA). Bahati mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.