Habari wana JF,
Mimi ni mkazi wa Kisarawe Pwani. Natafuta soko la mapasheni ninayo mengi, kama yupo mtu tayari naomba tuwasiliane kwa namba 0620593183.
Mugomo ulioanza Jana Dar es salaam sasa umefika jijini kwanza Leo maduka yote makubwa ya mefungwa. Jijini kwanza.
Kusema kweli huu si utamaduni wetu.watanzania wafanya biashara wanadai haki...
Wasalaam
Nimepanga kufika Arusha mjini kufuata manunuzi kadhaa lakini nimejulishwa na machinga mmoja ivi kua maduka yamefungwa kwasababu ya mgomo wa wafanyabiashara.
Mlioko Arusha mjini tujuzeni...
Wakuu habarini za wakati huu...
JF ni kisiwa cha maarifa. Naamini wamo wajuzi wa kuandaa 'maandiko ya biashara' au business proposal(s).
Naomba maelekezo. Au mwenye 'template' ya andiko lolote...
Kwa wale wenyeji wa Zanzibar ambao wanamiliki mahoteli nilikua natafuta soko la ngisi
Kwa sasa wapo ngisi kama kilo elfu nane
Ngisi wanapatikana UNGUJA UKUU
Kwa alie tayari naomba tuwasiliane PM
Habari za wakati huu wana jf , niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ni kushare kilichonikuta leo.
kuna mtu mmoja alinicheki anaitaji kilo 30 za mchele alikuwa mbali na sehemu ninapouzia...
Habar wadau,
Poleni na majukumu km kichwa Cha habar kisemavyo hapo juu, nahitaji mtu wa kunidhamini bank statement kwaajili ya matumiz ya safari ya nje.
Ambapo tutakubaliana atanitoza kiasi...
Habari wakuu, naomba kujua bank gani, au taasisi gani inayokopesha kwa vigezo ambavyo sio vigumu sana, ikiwemo riba kubwa, usumbufu n.k
NB: nina biashara tayari ya 18M
Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost)...
Nina mpango wa kufungua store ya mchele DSM, sipo kwa muda wa miaka 3.
Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa...
Tunahusika na uchomeleaji na uhunzi wa vyuma, tunatengeneza machine za kilimo, ujenzi, upakiaji, machine sector za madini, viwanda, tela za trekta n.k, tunabuni na kutengeneza mitambo kulingana na...
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na...
Wanahitajika business partners wawili hadi watatu.
Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi.
Biashara itakuwa jumla na reja reja.
Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam.
Mimi nitasimama upande wa...
Habarii za Muda,
Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000...
SERIKALI KUTUNGA KANUNI KUONDOA MIGONGANO YA WENYE MADUARA NA WAMILIKI WA LESENI
- Eneo la Uwekezaji wa msaada wa kiufundi(Technical Support) kutengenezewa Kanuni
- Leseni za vikundi...
Wakuu habari yenu.
Naamini wapo wajuzi na maafisa tofauti wenye uelewa wa haya mambo naomba kutambua mikopo kwa wakulima itolewayo pamoja na vigezo na masharti yake.
Hapa nitaomba kujua...
Kwa mara nyingine tena meli kubwa ya Kontena ijulikanayo kama RHL CALLIDITAS yenye urefu wa mita 260 imeingia katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni mfululizo wa Bandari hiyo kuingiza meli kubwa...
MELI KUBWA YENYE UREFU WA MITA 249 YATIA NANGA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM, IKIWA IMEBEBA MAKONTENA 4,500....
Meli ya Maersk Line. BIASHARA katika bandari ya Dar es Salaam imeanza kushika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.