Mtanzania aacha kukalia uchumi
Andrew Mbogoma Ngiri, mtanzania mwenye wake watatu na watoto 34 ameamua kuacha kuukalia uchumi na kuutumia pale alipouza ng'ombe wake 250 na kujipatia mamilioni...
Keneth Goliama
OFISI ya takwimu nchini imesema bei ya vyakula vingi imepanda kwa asilimia 26.2 ukilinganisha na mwaka jana ambapo ilikuwa ni asilimia 25.6 kipindi kama hiki.Taarifa hiyo...
Wakuu, mna habari kwamba mafisadi wameficha fedha kwenye m-pesa za watz wote? Sema tu wamezipiga pini hazichukuliki wala kuhamishika. Ni substancial amount, laki 8, 7, sita n.k. mpaka bank...
Japan imekubali kutoa Sh. milioni 640 kwa Shirika la Elimu, Sayansi la Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO), Tanzania kutekeleza mradi wa kuwasaidia wasichana waliolazimika kuacha shule kutokana...
Naomba kuuliza tozo au kwa jina maarufu ''port charges'' wanazo toza TPA kwa mizigo ambayo haiko kwenye kontena wanatumia mfumo gani.
Kuna mtu atanitumia parts za gari kwenye box la ujazo wa...
The total value of net credit to the private sector in the country has increased from 1.4trn/- in 2005 to 5.2trn/- in 2010, a new World Bank report released mid this week has said.
According to...
CHINESE oil giant CNOOC is negotiating with Uganda to invest in the African country's first oil refinery, state media said Thursday, as Beijing ramps up investment in the resource-rich...
http://youtu.be/PqhgnfgNwHI
Retired Tanzania President Benjamin Mpaka speaking about Western countries and Africa : They believe that Africa is their back yard ..!Very interesting speech!
Nataka kuanziasha financial institution. Wadau naomba msaada Wa procedures za kuanzisha hiyo biashara. Tayari nina investors walio tayari kutoa funds za capital na operations. Napatikana kwenye...
Kutokana na mabadiliko ya teknologia yanavyozidi kukua Tanzania imeazimia kubadili mfumo wake wa mawasiliano ya Television kutoka ANALOGY kwenda DIGITAL ifikapo tarehe 31.12.2012. Kwa taarifa hiyo...
NJIA ZA KUWAFANYA WATEJA WAKO KUWA LOYALITY KWENYE BIASHARA YAKO
1. Anzisha loyality program Hii ni moja ya njia yenye nguvu kabisa katika kuwa encourage wateja wako na ikiifanyia kazi vizuri...
Waungwana hivi kwa nini hakuna mjasilimali alieanzisha commodity market in Tanzania? Hii itasababisha kustabilize price ya nafaka nyingi nchini, vilevile itawapa wakulima access na wateja direct...
Dell vostro 1400
HD 120 GB
RAM 1GB
Procesor dual cpu @1.6
dvd rom,
wifi,
bluetoth
card slot
OS widow 7 premium
ms office 2007
BEI LAKI 8
ni pm kama unaitaka nitakujibu kwa haraka
samito
Nimebahatika kuona documentary ya kuhusu barabara za mawe Mwanza. Nimepata faraja kubwa sana kujua kuwa sio kila kitu Tanzania kinayumba, ila kuna wataalamu wanajitahidi kufanya mambo ya maana...
Habari zenu wana JF. Mimi ni mfanyabiashara. Nina kampuni yangu ambayo nimeianzisha hivi karibuni ambayo ninataka kuifungulia account yake. Ninaomba msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu wa...
Hivi kweli jamani route ya humu ndani ya nchi from Mwanza to Dar ndege inatua Dar saa tisa usiku? Hii ni ile yenye ratiba inayoonesha inaondoka saa kumi na moja!
Kwanza mna customer care mbovu...
Sasa hivi ni wiki nzima website yao haipatikani sasa jiulizeni wawekezaji wanapata vipi habari za uwekezaji wakati TIC wamefanya ufisadi wa kufunga website yao?
http://www.tic.co.tz/
Inamaana...
MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI BWANA ALI MFURUKI AMEUNGANA NA WAFANYABIASHARA WA KENYA WALIOWEKEZA TANZANIA KULALAMIKIA HASARA WANAZOPATA NCHINI. ANASEMA BIASHARA NI NGUMU TANZANIA KULIKO ILIVYO...