Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya makampuni kuanzisha makampuni mengine ndani ya Kampuni. Mtu anaajiriwa kwa mwamvuli wa kampuni husika lkn anapopewa mkataba unasoma jina la kampuni nyingine hii...
Naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua duka la rejareja la kuuza mchele, juice na kadhalika linaweza kuitaji mtaji kiasi gani
Ibravo post:
Habari zenu Wana JamiiForums,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo...
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii.
Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
Nimeifikiria sana hii biashara ila sijui pa kuanzia!
Lengo ni kufuga nyuki na kuuza asali, mwenye uzoefu tafadhali toa mwanga kwenye faida na changamoto za hii biashara!
Habari wakuu,hebu wale wazoefu wa kuchukua vyombo vya moto hivyo kwenye heading mtujuze machimbo bora
Maana sehemu zingine mikataba yao inatunyonya saana mpaka jasho zinavuja pia tujuzane...
Mimi mfanyabiashara wa duka ra rejareja nipo Dar mabibo, nahitaji maharage, choroko, kunde, njugu mawe, karanga kwa bei ya shamba.
Kama upo mkoani ukileta mzigo Dar nitafute
Namba 0788768480
Kuna fulsa nimeiona Oman, ya kupeleka maharage soya na Matunda pashen, nafikilia kuanza kupeleka bidhaa tajwa hapo juu kila week, kwa kuanzia ntakua nasafirisha kilo 100 kila week.
Kama unafanya...
Naam!!
Kitambo sijaandika Uzi humu. Mara nyingi ni mchangiaji ila Leo nimepata sababu ya kuandika kitu hapa labda kitawasaidia watu au kuwakumbusha tu.
Kama wewe ni mtumishi wa umma au una ndugu...
Mifano ni matajiri wengi tunaowajua kina Mo, Bakhresa, GSM, ni biashara za familia na ndugu wa karibu, ni team work.
Pia kwa upande wetu watanzania wa asili ukienda kwenye masoko makubwa...
Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! !
Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo
Calculator ya TRA sh...
Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha,
Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua...
Ndugu, habarini.
Naomba mnielekeze kuhusu hii biashara inayohusiana na kutengeneza matofali ya block.
Changamoto
Faida
Tahadhari
Uendeshaji
Mbinu
Mashine na vifaa
Gharama za uendeshaji
Karibuni...
Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections
chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba
Hajui kutumia...
Habari wadau.
Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3.
Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number.
Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania...
Habari za wakti huu;
Kwanza niweke wazi kwamba Mimi Nimekulia Arusha.
Ninafahamu Fursa na Changamoto zilizoko Katika Mkoa wa Arusha na Ninatambua tabia na Hulka za Vijana wa Arusha.Kimsingi katika...
Habari ndugu zangu!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nipo hapa mbele yenu kuomba ushauri kutokana na Hali iliyopo ya kimaisha kwa sasa nimeona niitumie gari yangu aina ya NOAH Ili kujiingizia...
Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu.
Huwa...
Naona banks zimeingia kwenye ushindani wa bonds Kufuatia kuimarika Kwa Biashara ya mikopo yaani watu na kampuni za biashara zinamiminika sana kukopa hivyo banks zinalazimika kutafuta pesa Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.