Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo...
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua...
Dar es Salaam. Tarehe 27 Aprili 2024: Katika kuunga mkono juhudi za kuboresha elimu nchini, Benki ya CRDB imeasaini mkataba wa ushirikiano na Chama cha Wawekezaji katika Elimu Tanzania (TAPIE)...
Kuwekeza kwa mustakabali ni hatua muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na uhakika wa maisha. Kwa kuwa na mbinu sahihi za kusimamia akiba na uwekezaji, mtu anaweza kufikia malengo ya kifedha na...
Angalizo:
Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza...
- Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited
- Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba
- Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa...
Jamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
Habari wa JF,
Katika pita pita zangu mitandaoni hasa JF na instagram nimeona kuna kampuni/watu wanaofanya huduma za kuagiza magari nje kwa masharti ya kulipia nusu na kumalizia kiasi kilichobaki...
Habari zenu wana jamii forums,
Samahanini nina ombi la kutaka kufahamu uuzaji wa gesi za majumbani au kuwa wakala wa gesi mfano orxy taratibu zipoje? Nianzie wapi mpaka niweze kufanya pia...
Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
Ningependa kuanza biasahra ya kuuza zao la mchele.
Source ambayo nimependa kuanzia ni Morogoro.
Ningependa kuoata ABCs za wapi pa kuanzia kutoja kwa wale wazoefu.
Natanguliza shukrani!
Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....)
Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile...
Dinari ya Kuwait (KWD) ndio sarafu yenye nguvu zaidi duniani. Lakini ni nini hasa kinachoifanya kuwa imara, na je, Tanzania inaweza kujifunza nini kutoka kwa mafanikio ya Kuwait? Wacha tuchunguze...
Habari za muda huu waungwana.
Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya...
SERIKALI KUJENGA MAABARA YA KISASA YA UPIMAJI WA SAMPULI ZA MADINI NCHINI.
-Waziri Mavunde aitaka GST kuwa sehemu ya kwanza ya taarifa sahihi za maabara
-Maabara kuwekwa vifaa na mitambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.