Wana jamvi nina malizia baadhi ya vyumba! Nimepita kariakoo nikiwa na haraka nikaambiwa bei ya bidhaa ni kama ifuatavyo:-
1) Ceiling board ya south africa = Tshs. 15,000 kenya = Tshs 14,500...
Wadau nataka kufungua medical store au phamacy hapa Dar ila sehemu ndio inanipa shida kwasababu wataalamu wanasema natakiwa nipate sehemu ya watu wengi.Nawaomba kwa wale wenyewe kujua sehemu...
Monday, 28 November 2011 10:46
Exuper Kachenje
KITUO cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesajili miradi 735 ya uwekezaji nchini inayotarajiwa kuzalisha ajira 70,000 kwa Watanzania hasa vijana...
Wadau.
Hili jambo la rates tofautI za custom,excise and duty tax kati ya bara na zbr zinachanganya wafanyabiashara. Kama mamlaka hizi za kodi haziwezi kuweka rates sawa bac PBZ Wawe na currency...
wakuu habari zenu??
Aisee nimekuwa nikifuatilia kwa siku nyingi swala la sisi waafrica kuwa na payment system yetu kama visa na mastercard na sisi tukawa na system yetu ya payment kama vile...
Greetings wakuu wangu. Am interested ku computerize accounting system ya biashara yangu. Majibu ya maswali hapa chini pamoja na information/ ushauri wowote utakaotoa utanipa mwanga utakaonisaidia...
Malaika beach resort (MBR) ni hoteli ya kisasa kabisa iliyoko eneo la ilemela jijini mwanza. Hotel hii imejengwa juu ya miamba ya mwanza lakini pia imejengwa pembezoni kabisa mwa ziwa victoria...
Habari za kazi? Hivi bano tax holiday ipo hapa nchini kwetu au ilishafutwa? What I understand ni kwamba tax holiday ipo kwa strategic investors ambao wana invest more than $25m ila kuna mtaalamu...
Investors invited to run high-speed Nairobi trains
High speed trains to be launched soon in Nairobi
Investors will be invited to provide rolling stock such as trains and high capacity buses...
From Oprah Winfrey to Steve Jobs to J.K. Rowling, entrepreneurial success stories are the stuff from which American dreams are made. Much like these famous names, the six self-made...
ODINGA ATUA DAR KUZINDUA QUALITY CENTER
Bwana Laila Odinga akishuka toka kwenye ndege,pindi alipowasili nchini Tanzania.
Akisalimiana na mwenyeji wake ambaye ni mmiliki wa Quality Centre, Yusuf...
File | Nation Guests choose delicacies from a buffet laid out at the Movenpick Hotel.
Updated Thursday, November 24 2011
Tourism Promotion Services (TPS), the operator of the Serena Hotels...
Wakuu,
Nataka kusaidia ndugu waanzishe ufugaji wa ngombe wa kisasa na nina maswali machache.
1. Ni ngombe aina gani wanafaa kwa Tanzania na hasa mikoa ya Nyanda Za juu Kusini?
2. Je ngómbe wa...
''ABG is pleased to announce that it has received the approval from the Capital Markets & Securities Authority of Tanzania (CMSA) and the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) for an introduction of...
wana Jf,nimekua sikosi hata siku moja bila kupitia jukwaa hili la biashara,limenijengea kujiamini kwa hali ya juu,nimejifunza mambo ya biashara mbalimbali,imekua kama lecture ya ukweli sana...
COMPLETE LIST FROM FORBES
Rank
Name
Net Worth ($mil)
Age
1
Aliko Dangote
10,100
54
2
Nicky Oppenheimer & family
6,500
66
3
Nassef Sawiris
4,750
50
4...
Tafadhali naomba msaada na taarifa jinsi ya kusajili tuition na re-siter center. Hii ni huduma ya kutoa tuittion kwa ajili ya wananfunzi waliofeli mitihani ya form four na six na pia kuwa huduma...