Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Thread hii ni summary ya makala ambayo niliitoa kwenye gazeti la Rai wiki kadhaa zilizopita. Aidha, makala hiyo ilikuwa ni matokeo ya informal survey ambayo nilipata kuifanya siku za nyuma. Kwa...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
PRESS RELEASE Western Union and USAID in collaboration with The Tony Elumelu Foundation Launch African Diaspora Marketplace II With Small Business Workshops in Seven Cities...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina nia ya kuwa-sue tanesco nawadai 150,000 walinunua stationaries kwangu kwa mkopo ;ukijumuisha gharama za usumbufu na interest ,naweza lipwa shilingi ngapi wadau ? Nimekuwa nikizungushwa tuu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa wale mjuao bei ya kilo moja ya nyanya azamu na viwanda vingine vya kusindika chakula ebu nijuzeni.kuna kashamba ekar 10 nataka kulima nyanya kwa njia ya kisasa, but im stranded about bei, help
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa JF naomba mnisaidie kwa hili, kuna gari nataka niagize toka Japan, nilikuwa nataka kujua makadirio ya kodi ili nijipange vizuri kwa hilo. Nimefungua ile website ya Welcome to...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
jamani ilitakiwa niondoke na ndege ya saa 12 leo jioni kutoka dsm to arusha. Hawa watu wamenigandisha tu hadi watu wameanza kuingia kwenye ndege. Mwisho wananiambia ndege imejaa niondoke kesho...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu zangu kuna matractor yanauzwa kwa ajili ya kilimo kutoka uingereza yapo katika hali nzuri kabisa na bei poa, kama tunavyojua hakuna ushuru bandari kutoa vifaa vya kilimo kama tractors kwa...
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Hivi hawa jamaa wazima kweli? Huu ulikuwa wakati muafaka kupandisha gharama za simu na sms? Wapo busy ku-promote wimbo wa mbayuwayu hadi wanakera... hivi kumsikilizisha mtu kitu asichotaka sio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba bei ya umeme wiki hii pia sasa tuwe tunapata updates every second sunday on power rates hikes ili iwe rahisi kuweka plan ya wiki. 2 zinazofuata
0 Reactions
0 Replies
960 Views
wakuu habari zenu?? Wakuu kuna mtu ninayefanya naye kazi alikuwa anataka kununua suv yeyote nzuri ila kwa bei rahisi sasa alikuja kuniuliza nimshauri anunue nini ila nikasema ngoja niilete kwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
wandungu ningependa tufahamishane bei za mabati za kuezeka na ubora wake pia kuna za ando, decra, IT na zingine naamini kuna wajuzi humu jamvini nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
they are cheap everybody can afford only15000 piga 0714500004 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Ile kampuni ya kikenya iliyofikiri ingeweza kuiua kampuni ya ndege ya watanzania hatimae hisa zake zimegoma kuuzika. Hii ni kwasababu watanzania makini wameshtukia madeni makubwa waliyokuwanayo na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
salaam wana jf je ni wapi naweza pata mashine za mbao za biashara ie.ya kuchania na kurandia zinazomiliki vishindo na kazi nzito, natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
The e = (a - s) t wealth equation was developed in 1988 by the founder of East Group Australia, Bill Wieland, after many years of both formal and informal study and research on wealth creation...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mda sasa tunashuhudia malumbano na kashfa nzito nzito kati ya vyama viwili vya upinzani vyenye ushawishi hapa nchini.moja ya hoja ambazo vyama hivyo vimekuwa vikivutana sana kwamba mimi ndio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
..hivi wakuu haya makampuni yetu ya ulinzi yanamchaji client bei gani mathalani kama wakimpa full time mlinzi 1 wakulinda nyumba au ofisi?? Taja kampuni na bei yake na kama inawezekana comment na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzee Mramba Abdallah Bakari THAMANI ya Shilingi dhidi ya Dola ya Marekani inazidi kushuka, huku mfumuko wa bei ukipanda na kufikia hivi karibuni asilimia 18, hivyo kuchangia ongezeko la kasi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Africa rising - The hopeful continent After decades of slow growth, Africa has a real chance to follow in the footsteps of Asia Dec 3rd 2011 | from the print edition THE shops are stacked...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau mimi ni kijana tu nisiye na kipato chochote ila natamani sana siku nikipata hela nifanye biashara,hivyo yeyote mwenye information za jinsi ya kusajili jina la biashara na gharama zake pamoja...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom