Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wadau msimu wa sikukuu huu..nokia n8 touch screen inauzwa..made in taiwan napatikana dar...serious buyer..call/sms..0719575791 karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mi nashangaa hao viongoz wawil waliopita kutawala bush na clinton wamekuja fanya nn? Et clinton kaja kufungua kadispensar yan ni kadogo kuliko nyumba ya mzee wangu! Mi nahis uranium iliyoko ukanda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Maybe it's a stupid question but I want to know what's job description and its purpose. Why and when we use job description?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wandugu naweza wapi kupata madirisha ya alluminium na bei zao kwa mkoani arusha natanguliza shukhrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini nyote. Naomba ufafanuzi juu ya madirisha ya alumminium.nasikia kuna ya kichina(feki) na ya dubai(mazuri).maana nimepeleka oda yangu pale kwa wachina wa good one nimewauliza hawa mafundi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Capital Markets and Securities Authority has said the Tanzanian needs to be educated on what cross listed shares mean for them to effectively participate in the business. Nasama Massinda CMSA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gharama ya gesi, mitungi kushuka Na Mwandishi wetu 30th November 2011 Mitungi ya gesi ya Oryx Kampuni ya kuuza na kusanbaza Gesi ya Oryx gass inatarajia kupunguza gharama za gesi na mitungi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAYA WAKUU, KWA ANAYEITAJI ..CLICK HERE: Welcome to Master Minds
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wadau nina mawe ya red garnet kama kilo 3 hivi, natafuta soko zuri la kuyauza... . naomba msaada wenu kwa anayewajua wanunuzi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau naomba kujua hivi google wanavyotangaza kuwa unaweza kupata malipo kwa kutumia blog uliyoihost kwao kwa kuji register ili uweze kutumia Adsense ila kilionishtua wanataka details kibao
0 Reactions
0 Replies
964 Views
vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF! Katika kuonyesha KILIMO KWANZA kwa vitendo, nimekuwa na wazo kwamba wana JF tunaweza kuunganisha nguvu zetu na kuwa na shamba la kisasa litakaloitwa JAMII FARM. Shamba hili liwe kumbwa...
1 Reactions
110 Replies
13K Views
nahitaji NINTENDO extrernal hard disc ya kuanzia ukubwa wa 300 GB kwenda juu ya bei chee but quality, isiwe na magumashi au ya kimagumashi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wana JF! Jamani nna rafiki yupo somewhere nje ya nchi ameniambia anataka sukari guru (unfortified/unprosessed sugar)almost 1TON kuna mtu ana idea inapozalishwa hapa TZ nimejaribu kuuliza...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Wakuu kutokana na hali halisi ya uhaba wa nafasi za ajira nchini mwetu, pamoja na msisitizo kutoka Serikalini kuwa vijana tutafute namna ya kujiajiri kwa kufanya biashara halali basi ninafikiria...
2 Reactions
65 Replies
12K Views
Wadau naombeni msaada kwa yeyote anayejua zinapouzwa mashine za kukata aluminium na bei zake plz anijulishe. nahitaji kuipeleka mkoani. msaada plz.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
wakuu naombeni mnijulishe bei ya mashine ya kuchania mbao,natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
847 Views
jamani hii biashara ni biashara ya maajabu watu maarufu duniani wameirecomend hii biashara kwa maana ndio biashara pekee inayosemekana kuzalisha mamilionea wengi duniani kufikia 2015.kuna...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
It is an obvious fact that financial aspects are a major part of daily life, as an adult and even as a young individual. Each and every one of us has to make financial decisions concerning...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu ni maoni yangu kwamba bima ya gari ni maarufu zaidi kuliko bima ya maafa ya nyumba. Ukilinganisha gari na nyumba naona nyumba ni muhimu zaidi kuliko gari. Ni kwa nini watu wengi hawawekei...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom