Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau wa JF naulizia kama kuna mtu anajua gharama za uchapishaji wa coloured magazine size A4 ya page 48 inarange kwenye sh ngapi au anayejua mtu anayefanya hizo business za printing ani hook up...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau, Nina wazo la biashara ambalo ningependa kuwajuza wengine walio interested kujalibu unique business projects ambazo hazicost mtaji mkubwa sana lakini zinalipa.: Wazo...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
printer ya black & white inahitajika. isiwe juu ya laki na nusu. email ckundawa@hotmail.com
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nilipenda kujua je ni hotel gani nzuri na yenye bei rahisi hapo zanzibar ..
0 Reactions
11 Replies
13K Views
ABG to raise royalty on Tanzanian gold - Ministry25 times viewed. Thursday, 15 Dec 2011Reuters reported that African Barrick Gold Plc has agreed with the Tanzanian government to raise the royalty...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, Nina office furnitures ambazo nimenunua mwezi wa August mwaka huu pale City Furnitures na Furniture Center Posta ambazo nimeamua kuuza kama ifuatavyo: S/N ITEM QTY...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika siku za karibuni nilibahatika kutembelea baadhi ya viwanja vya ndege. niliweza kushuhudia jinsi utaratibu wa ukaguzi na upimaji wa mizigo unavyofanyika. Kuna jambo moja lilinishtua katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WAKUU HABARI ZENU NAPENDA KUJA NA IDEA YA BIASHARA YA INTERNET PROVIDING SERVICE KWA NCHI ZA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA.... HII NI IDEA AMBAYO NINA iDEVELOPE NOW BAADA YA KUONA KUWA INTERNET...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadugu naomba mwenye access na kitabu hiki anaisaidie. http://www.amazon.com/Decision-Support-Systems-George-Marakas/dp/0130922064/ref=sr_1_1?s=books&ie=UTF8&qid=1323140424&sr=1-1 Thanks.
0 Reactions
0 Replies
951 Views
HABARI ZA LEO WAKUU,SAFARI LAGER WAMETENGA TSHS 200MILLIONS KATIKA PROGRAM YA WEZESHA. 1.WAJASILIAMALI WADOGO NA WAKATI INABIDI WAAPPLY,ILI KUINGIA KWENYE SHINDANO. 2.NYENZO ZA BIASHARA...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Heshima kwenu wadau, Kwa tathmini yangu ya upeo wangu, nimegundua kuwa watanzania wengi hasa wa hali ya chini wanaojishughulisha katika mambo ya biashara wanakosa mambo makubwa matatu ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habari zenu, ni LLB graduate ,sina ajira ila kuna sehemu naweza kopa ka mtaji kiasi fulani ninataka ninunue pikipiki ya matairi matatu ya kubeba mizigo sasa kuna mambo naitaji kuyafahamu 1...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Rais kasema reli inayotumika kwa sasa imeppitwa na wakati kwa hiyo serikali inajiandaa kujenga reli mpya na ya kisasa. Kukamilika kwa reli hiyo kutaifanya bandari ya dare es salaam kutumika vya...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
wasalaam ndugu. Mimi ni mwanachama msomaji na mfuatiliaji wa karibusana wa jukwaa hili kuliko majukwaa yote ktk forum hii ingawa sina muda mrefu sana . Sina uhakika kama wapenzi wenzagu wa jukwaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ecocta Tours and TravelThe spirit of the festivities is in the air. Often times, the urge to get away and rejuvenate one’s life is overwhelming. Many people imagine that they can’t afford to get...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hey guys, Just wanted to share what i have heard recently that Exim Bank (T) Ltd have been sued with 146 million for participating in stealing, destroying and hiding dishonored cheques of thier...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Indian billionaire Ravi Ruia charged over mobile licences Investigation into alleged corruption in India's mobile telecoms sector widens...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In the fast paced and rapidly changing world of technology, it’s vital that you keep up with the most recent developments and events. Digimatrix Technologies MEA is committed to keep you fully...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
jana nimeonja kwa mara ya kwanza Azam-Malt huyu mzee ni kiboko jamani!! ana vijana wanafikiria kama nn maana kila mtu unamkuta njiani na mchupa wake wa malt aah anapata vitamin.... nafaham...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom