Mimi naishi Mkoani Kigoma umbali wa kilometa zaidi ya 200 toka moja ya wilaya za Mkoa huo na ni mtumiaji mzuri tu wa huduma za mitandao yetu hii. Mitandao miwili ndiyo inayopatikana hapa...
Wana JF
Napenda kuwataarifu nimefanikiwa kufungua SHOWROOM ya kuuza magari pale maeneo ya Magomeni, ipo barabarani kabisa...
Kwa yeyote anayeuza gari anaeza kuni-PM tukakubaliana terms za kupark...
Nina shida na construction plan kwa ajili ya commercial building ambayo itatumika kwa ajili ya matumizi ya kiofisi tu. Nahitaji construction plan ya kisasa na ya kuvutia yenye jengo lenye gorofa...
Habarini za saa hizi wote.
Kama mjuavyo siku zote katika kuanzisha biashara;-cha muhimu huwa ni wazo kwanza.mm binafsi nimepata wazo la kufungua pump ya kuuza mafuta ya taa hapa mtaani...
Jamnieee, unaweza kuamini bei ya kilo moja ya gas ni shs 3500/= na inapanda kila siku, sasa hawa ewura ( kwa lugha yetu inamaanisha "MKOSAJI") wanaregulate ktk petrolleum liquid peke yake? vipi...
I remember in a topic, someone ask general job description. I've found an article tasks of general manager. I post here and hope that it's helpful for others.
Oversee activities directly related...
Wapendwa nauza hisa za NMB ushauri jamani niziuze au niziache lakini hisa zenyewe elfu moja tu gawio kwa mwaka elfu hamsini lipi bora kuziuza kufanya shughuli nyingine au
Kachoki
jamani nataka kufanya biashara ya gari ya tax pamoja na bajaji moja,zote nataka kununua second hand....ila zisiwe zimechakaa sana zisije kuanza kunipa tabu matengenezo,je shiling ngapi nikope...
ufanye ujenzi wa nyumba yako kuwa nafuu na rahisi kwa kutumia matofali yanayofungaman(interlocking bricks:poa)tembelea www.difining2morrow.blogspot.com
Heshima kwenu GT,
Nina shauku sana ya kujua siri za mafanikio, njia halali walizotumia, mbinu na ujuzi waliotumia watu waliofanikiwa kibiashara hapa kwetu Tanzania ili wengine tujifunze kupitia...
Nipo kariakoo big bon baada ya kuangaika kwenye folleni muda mrefu, baada ya kufika nimeambiwa nayo yameisha. Aliyekuwa mkombozi BIG Bon naye aungana na wafanyabiashara, naambiwa yapo lakini mkuu...
THE PRIMERA IS IN STUNNING CONDITION INSIDE AND OUT- VERY ECONOMICAL,- LOW MILEAGE ON THE CLOCK- LOW INSURANCE GROUP- REALLY GOOD LOOKING CAR AND DRIVES PERFECTLY- LOTS OF FEATURES ON THE CAR-...
Habarini zenu wakuu,
nilikuwa na wazo wadau, tunaweza kuwa na tafrija ya kukutana kila mwisho wa mwaka na kuwapongeza wanaJF katika jukwaa la Biashara ambao wamefanya vizuri katika nyanja...
Ndugu wana Jamvi mie mwanafunz muda wa kwenda benk ninakosa ratiba ngumu cna kwangu. Nipo sehemu ambapo kuna NMB, CRDB, NBC na Benki ya Posta tu. Je ni benki ipi kati ya hizi naweza kuchange...
wapendwa wana jf, natumai mnaendelea vyema na poleni na majukumu. Napenda kuwashukuru wana jf wote waliyo niunga mkono ktk biashara yangu ya mayai ya kuku wa kienyeji, Nimefarijika sana na...
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu mtazamo hasi (NEGATIVE PERCEPTION) wa baadhi ya watu, tena si wachache, ni wengi kweli pale mtu anapowaambia kuhusu Biashara ya ya Masoko ya Mtandao...
Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi.
KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.