At least 56 per cent of the Tanzanian adult population is excluded and use neither formal nor informal financial services, a new study on financial transactions and investments has revealed.
The...
Habari wakuu, nokia n900 brand new,
32 GB 256MB RAM, Card slot: Micro SD up to 16GB, GPRS class 32.
speed: HSDPA,10Mbps, HSUPA 2Mbps
wi-FI, camera: 5MP, 2576 X 1936 pixel.
Bei inauzwa laki 6 na...
Kuna wakati huwa nafikiria saaana, kwanini watu huwa tunaingia gharama za ku subscribe kwenye caller tunes. Utakuta jamaa ana tunes zaidi ya tano, kila ukimpigia wasikia tunes tofauti tofauti...
huu mtandao wamezidi,unaomba huduma e.g sms bundle ,wanakata hela. Ukianza kutumia tena wanakata each sms kwa normal rates,f***k them.
Namba ya huduma kwa wateja "toka kwenye menu yao ya service"...
ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...
Tuna M-pesa, TiGo Pesa, Airtel Money na ZAP. Kenya na Tanzania mpaka sasa kuna huduma hizi zilizokwishaanzishwa:-
1) Bulk salary pay: wafanyakazi wanalipwa mishahara kupitia huduma hizi
2)...
NIMETOKA SHAMBA HIVI KARIBUNI NIKAWA NA HAMU YA KUPATA KOPI YA GAZETI JIPYA LA JAMHURI. NILIKUWA NA KIU KWANI KWA MFUATILIAJI KUONA FRONT PAGE STORY, TAHARIRI NA MAKALA UNAGUNDUA GAZERTI NI LA...
nitapata wapi nyumba yenye room 2 na sebule kwa bei rahisi ya angalau TZS150,000 p.m!!!nina shida kweli ila sehemu nyingi bei iko juu,ningependa maeneo ya tabata,ubungo external,kijitonyama...
Wana JF leo nimeamua kuwaanika SASATEL wanavyo niibia. Mimi natumia modem ya SASATEL na nanunua kifurushi cha mwezi. Linalonishangaza kila nikinunua wananikatia huduma siku moja kabla ya tarehe...
Maeneo mengi huku mikoani walikoweka repeater za redio free Africa (RFA) yamekuwa yakikosa matangazo yao kwa ufasaha. Nichukulie mfano Iringa, matangazo ya RFA kwa mwaka 2011 yamepatikana kwa...
Wadau waliopitia mambo ya kilimo sera za kilimo kwanza kwa undani Naombeni msaada kujua kama swala la kuwaelimisha wakulima wa kibongo juu ya greenHouses lipo na limepewa nafasi gani???
Ndugu...
Mikopo kwenye mabank ya Tanzania riba kubwa mno kiasi cha mfanya biashara kuzalishia bank badala ya kutia pesa mfukoni. Bank za Tanzania riba zinatisha kufikia hadi zaidi ya 15% wakati majuu mkopo...
Huku maeneo ya Southern Highland minara mingi ya Vodacom (Kama sio yote) inaungurumisha majenereta kila siku. Toka nimerudi home kuhesabiwa yapata wiki moja sasa kila mnara wa voda unatumia...
Aisee kwa kweli sasa TZS inapanda thanani dhidi ya madafu ya Obama, kwa sasa 1US$ = TZS 1560 two months ago ulikuwa say unataka kununu nje kitu cha US$ 20000 ungetumia TZS 5m zaidi kama unataka...
changamoto inayowakabili watu wengi ni namna ya kupambana na changamoto za kupanda kila siku kwa ghrama za mafuta,tembelea hii blog kwa maelezo zaidi katika hili,best of lucky ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.