Wakuu heshima mbele sana.
Wataalamu wa uchumi naombeni mtuambie kama usd itazidi kushuka dhidi ya tsh katika quarter hii ya kwanza ya mwaka, au kama itapanda tena?
Le0 hii mchana kutwa network ya LUKU Tanesco ilikuwa haipatikani, maelfu ya wateja walikuwa wanahaha kutafuta kununua umeme.
Hii ndiyo njia mojawapo Tanesco inavyojimaliza kimapato kwani itokeapo...
The four companies shortlisted to bid for the distribution and storage assets of Addax & Oryx Group had until Dec. 29 to put in their final offers to BNP-Paribas which has been handling the sale...
Wadau, naona mwaka tunauanza na kila kitu kikiwa bei juu....cheki mwenyewe..
1. Mchele.. 1900
2. Sukari...2000-2700
3. Maharage....1300-1500 na vingivyo vingi tuu..kwa sisi tulioanza maisha ya...
Jamani, naulizia wapi nitapata nondo kwa bei POA (10mm au 8mm) kwa ajili ya kujengea madirisha. Nimeishafanya mahesabu na ninahitaji nondo kama 160 hivi. Nyumba inayojengwa iko Boko CCM. Asante.
Nimekuwa mfatialiji mzuri wa kujua wapi tunaeleke Tanzania na watu wake
cha kushangaza ni Hao watu waliojuu, waziri mmoja mkubwa sana aliulizwa
swala la vijana kukosa ajira na kuunza kusema...
Leo nilikuwa na shida ya vijisenti kwa hiyo kama kawaida nikapita kwa ATM ya NBC LTD ,nikakuta a/c haifanyi kazi kuingia ndani nauliza wanasema wametufungia A/C zetu, mpaka mwenyekiti wa serikali...
Jamani naona hili tatizo la umeme tutaendelea kuwa nalo kwa miaka takriban 20 ijayo
sasa nauliza je kama nataka kufanya biashara ya solar kama wale jamaa wa REX mnanishaurije?
Naweza kuingia...
Hivi kwa nini biashara ya albinos' organs hushamiri kipindi cha kampeni za uchaguzi? Imenibidi kuuliza swali hili coz vitendo vya mauaji ya albino, uchunaji ngozi, safari za bagamoyo kufukizwa...
mwaka 2012 naona watu wamesherehekea kwa mbwembwe zote kila mtu ana malengo yake ya kuyatimiza mwaka huu kuna waliopanga kuoa , ku graduate pamoja na kupata kazi nzuri ila mimi malengo yangu ya...
We have been observing an increasing trend in the Tbills interest rates for the past 6 months. This has been caused by official mechanism adopted by the Central Bank of Tanzania to create price...
Wakuu herini ya mwaka mpya!
Mimi nina kagari kadogo (starlet) nataka nikafanye taxi. Naomba wenye uzoefu na biashara hii mnipe uzoefu na mbinu za hii biashara. Niko moshi. Asanteni.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Anthony Kayanda, Kigoma.
KUNDI la vijana zaidi ya 400 wamemvamia mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe wakimtaka awatafutie ajira...
Moshi ni mji wenye sifa ya usafi Tanzania. Zaidi ya usafi ni mji wa Mlima Kilimanjaro (The town of Mt Kilimanjaro) hivyo ni mji wa kitalii barani Africa. Pia mji huu uko kwenye mchakato wa...
The government has opted for thorough review of the controversial lease agreement of aircraft Airbus 320, whose bill went to a staggering amount of $32.6 million (Sh52 billion).
The new government...
HII INAWEZA KUWA NA MSAADA KWAO, KWA KIASI FULANI
1.Najua kwa sasa mko Vyuoni na mnakimbiza kitabu ile mbayana kuna baadhi yenu mko kwenye maandalizi ya TEST, ASGMENT, MITIHANI NAKAZALIKA...
Ukiwa mfanyakazi serikalini au katika mashirika ya umma na binafsi kuna sheria kabisa ya nchi inayolazimisha kuwa lazima uwekeze kwenye NSSF.Na pesa yenyewe si ndogo,ni takriban 20% ya basic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.