Kuna jamaa zangu wanalima mboga huku moro wanahitaji soko maana madalali wa kariakoo wamekuwa wakiwadhuluma sana.Please msaada waushauri na hiyo network.
ninachojua ni kuwa kama mtu anataka kusajili kampuni au biashara yake ni lazima kwanza afike BRELA ili wamsaidie kusach jina kama tayari lipo au la. Mchakato huu unahusisha kuandika barua ya...
Ndugu wana JF. Kumekuwa na upotoshaji mkubwa kuhusu upandishaji wa gharama za ferry Kigamboni. Wakati watu wengi wakijadili kuhusu nauli ya sh. 100 kwenda sh. 200, kiukweli gharama zilizopandishwa...
mchezaji wa kimataifa wa Cameroon antarajiwa kuanzisha mtandao wa simu za kiganjani nchini kwao ambao umelenga pamoja na mambo mengine kupunguza gharama za matumizi ya simu,hivyo ndivyo wanafanya...
Jamani hebu tasaidiane hapa..Hivi tuiambie nini hii serikali yetu ili ielewe na ichukue hatua juu ya mwanamke mjazito kutembea kilomita 18 kwenda kujifungua? vifo vya watoto na akina mama...
Juzi nilinunua airtime ya tigo kabla sijatumia nikaambiwa huna fedha. kabla ya hapo nilikuwa nimejiandikisha kwenye huduma ya sms 10 kisha unatuma siku nzima ambayo was just a disappointment. Sms...
wakuu heshima zenu!nilikua nauliza hivi cement ya Twiga inaweza kukaa mda gani bila kuharibika?ikihifadhiwa sehemu kavu,isiyo na unyevu nyevu!nimenunua kwa ajili ya ujenzi,ila mambo yamekua...
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imezoea kuwazingua watanzania kwa utabiri wao wa hali ya hewa wenye maneno ya jumla jumla kama vile ukanda wote .......,manyunyu n.k.Mwaka jana walitabiri Elnino...
By Clive Crook | Jan 4, 2012
With the worlds rich economies struggling and the leaders of the European Union intent on making things worse, the gravity of the economic crisis still confronting...
Amaki Shoes Makers watengelezaji wa viatu halisi vya ngozi vya kike na kiume, wanapokea order kwa viatu vya shule n.k Wanauwezo wa kusuply pair 2500 kwa miezi miwili. Bei ni poa sana tena sana...
Salaams wana JF,
Inatakiwa Diesel tani 25,000 kwenda Mombasa katika muda mfupi iwezekanavyo, preferably yaliyo kwenye
high seas. Inaweza kuwa biashara endelevu.
Mwenye kuwanayo/fununu atoe bei...
The number of elephants in two wildlife sanctuaries in Tanzania has fallen by nearly 42 per cent in just three years, a census showed yesterday, as poachers increasingly killed the animals for...
Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura)
Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za aina zote za mafuta za jumla na rejareja zitakazoanza...
Home Affairs Minister Shamsi Vuai Nahodha yesterday granted bus drivers one-week grace period to acquire the new driving licenses, temporarily halting the crackdown that almost paralysed passenger...
natafuta jinsi ya kuweza kuwasiliana directly na huyu mama kwasababu nina project nataka fanya inahusiana na mazingira. Sasa nahitaji msaada wake na nihisi nikijaribu wasiliana naye kupitia njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.