Utakuwa unasikiliza kipindi kwenye radio (kama clouds fm, bbc n.k) na mtangazaji anakuomba uchangie maoni kwa kutuma sms, unafanya hivo mapema na mtandao unakutaarifu kuwa ujumbe wako umepokelewa...
Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu kuhusu ununuzi na uuzaji wa hisa.Nitashukuru kama mtaniwezesha kujua kampuni ambazo hisa zinanunulika na kuuzika kwa urahisi, kwa muda mfupi na kwa faida...
Nimeona kwenye TV ya Tanzania (TBC) jana kuwa kuna fundi mmoja amekamatwa kwa kutengeneza mizani ambazo hazikidhi ubora.
Tanzania tumezoea kuagiza mizani toka Kenya, lakini huyu baba, kwa kuona...
Kweli inasikitisha sana kwa Bank kama CRDB kushika nafasi ya 8 kwa kutoa huduma bora kwa wateja wake.
Matatizo nayo yajua yaweza kuifikisha hapo CRDB kama mie mteja wao ni
Feature plan zao...
As a Partner Organization to International Labour Organization (ILO), Genesis Consult embarks on training potential and existing entrepreneurs for Generate Your Business Idea (GYBI) and Start Your...
Vijana mnaowategemea wanasiasa kufikiri kwa ajiri yenu mnawakati mgumu. Serikali tayari imewatenga wako tayari kuwatumia wakati wa uchaguzi ukiisha vinakuja visingizio kuwa vijana wanapenda...
Wadau, mimi ni mwalimu wa cheti (grade IIIA) niliyehitimu june mwaka jana, kama mjuavyo mpaka sasa hatujui ni lini tutapata ajira za serikali.
kutokana na ukata, nimeamua kuwa mpiga picha...
wandugu naomba msaada wenu, ninatafuta kununua jumla jumla samaki wa aina ya lobsters hapa bongo. Shida yangu mpaka sasa nimeshindwa kupata hilo soko liko wapi, nimeambiwa kuwa kuna watu wana...
There is a certainer plot near DUCE UNIVERSITY, we are finding the investors who can invest on that place,for more information contact me by the following number 0712 561443
jamani inafaa kufanyia kazi za taxi...nipeni specification na bei zake second hand,
pili kwa sasa bongo wanakubali skrepa au ni uzushi tu kuna gari nimeiona nzuri ya mwaka 98...lol
Thanks.
JUMLA ya Wahasibu na Wakaguzi 1,911 ikiwa ni asilimia 52 ya wahasibu na wakaguzi waliofanya mtihanai wa ngazi ya ATEC I, ATEC II na mtihani wa awali (Foundation Stage A & B), na mtihani wa kati...
Wa dau habari za kazi?? Samahani kwa usumbufu naombeni mni elekeze wapi na weza pata vi faa or mashine zur za bekari ya mikate kulingana na ugumu wa maisha nime amua kuwa mjasi. Na tu mai through...
hawa tigo walitangaza kwamba uki top up salio lako kwanzia buku litakua doubled. cha ajab kila nkiweka wanauchuna af kesho yake wanajifanya kuommba radhi na wananipa dk.13 za kuongea. nikafanya...
Kuongezeka kwa bei ya bidhaa au huduma bila shaka ni jambo linatugusa sote. Kupanda kwa gharama za maisha ni kilio cha watanzania wote. Swali hapa ni nini maana halisi ya mfumuko wa bei mfano...
raders in downtown Kampala, Mityana and Masaka towns kept their shops closed yesterday as the three-day strike called to protest high commercial bank interest charges on old loans got underway...
katika kupitia kwenye site mbalimbali nimekutana na hili shirika la Private Agricultural Sector Support (PASS). nimependa
PASS offers the following commercial and subsidized services...
Tanzania is the third largest gold producer in Africa and is rich in mineral resources.
Despite its mineral wealth, it is the largest recipient of development aid from Britain and has received...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.