SIO KILA KITU LAZIMA KIFANYWE NA WAKENYA HATA SISI TUNAWEZA,ASANTE SANA YUSUF MANJI KWA KITU KIZURI.
ODINGA ALIVYOZINDUA JENGO LA QUALITY CENTRE
Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga jana Nov 25...
Nimepitia mtandao wa mwananchi na kukutana na kichwa cha habari kisemacho "EWURA YATAMBA SASA UCHAKACHUAJI HISTORIA" kwa kweli nilianza kuona hawa jamaa wapo makini angalau kuwa wamemaliza hilo...
Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) will this year start using an automatic meter reader (AMR) which will be connected to Luku customers to enable them pay for power.
According to Tanesco...
Ninafikiria kuleta trekta langu dar baada ya msimu wa kulima mwezi wa pili.Ningeomba msaada kwa mwenye idea nini naweza fanya hapa dar nkapata kipato wakati nasubiria msimu.
Jamani watanzania wenzangu,
Naomba tushauriane ni nishati gani nafuu ya kutumia majumbani kupikia hasa kwa watu wa kipato cha chini au cha kati tunaoishi mjini? Maana bei ya gesi au mkaa ni zaidi...
HALLOW WADAU WENZANGU,KWA WALE MIONGONI MWENU WANAOHITAJI VIWANJA VIZURI KWA BE NAFUU KABISA,KUANZIA MILIONI MOJA,WAWASILIANE NAMI KUPITIA NAMBA 0784327429/0767327429 AU EMAIL...
Overall Score: 57
World Rank: 108
Region Rank: 15 of 46
Economic Summary
Tanzanias economic freedom score is 57, making its economy the 108th freest in the 2011 Index. Its score is 1.3...
kwa anetaka uwakala wa airtel
money piga hizi namba
0717474257 (usishangae namba ni
ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo
naendelea kutumia namba yangu ya
tigo though workng 4 airtel) .kinacho...
Serikali leo imesema ipo kwenye mchakato wa kuigeuza kariakoo kuwa sehemu ya kununulia bidhaa za jumla na rejareja kuwa kama vile Dubai au Guangzhou. Tamko hilo limetolea leo kwenye taarifa habari...
Ndugu wana Jf.
Salaams na heri ya Mwaka Mpya?
Jf imekuwa mwanga na ufunguo kwa watu kuwasiliana na kupeana mawazo ya maendeleo.
Kichwa cha habari hapo kinahusika. Kuna wawekezaji wanataka kuja...
Nimefanya utafiti mdogo Tanzania haswa mikoa ya kusini na kati nimegundua makampuni mengi yanayotoa mikopo kwa wafanya biashara ndogo ndogo ni ya kutoka nje na yanawabana kwa riba kubwa...
Siri ya mafanikio ya bidhaa za Kichina
Mambo ya Mchina
Kimekuwa na wimbi la bidhaa za Kichina karibu katika kila nchi duniani. Wachambuzi mbalimbali wamejaribu kuelezea siri za mafanikio ya...
wanandugu habari ya weekend.
tafadhali mwenye ufahamu naomba anielekeze utaratibu wa kufuata katika kubadilisha jina kwenye kadi ya gari pamoja na gharama zinazohusiana na zoezi hili...
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisikia neno China China, hili linamaanisha kila kitu, siku za hivi karibuni neno hili limehusishwa sana na ufake,kutodumu nk. Binafsi nikiwa fans wa made in China, iwe...
The Contract has been signed.
Follow this discussion - https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/210498-kigamboni-bridge-contract-signed.html
Tanzania | Published On: Sat...
Wadau..Heri ya Mwaka Mpya!!
Nahitaji kufahamu Mtu/ Taasisi inayotoa mikopo midogo kwa kukuza biashara changa. Dhamana ya mkopo ni mali(assets) za kampuni.. Mabenki yasiwemo katika hili sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.