Jf
katika generation au zama hizi biashara nyingi sana zinafanyika kwa njia ya mtandao na hujulikana kama online business/e-commerce
kuna shopping carts, shopping baskests, online orders na...
Tuondoe dhana ya kusema ajira hakuna.
"MAKE MONEY ONLINE"
Ni msemo wenye maandishi ya kizungu unaotumika sana katika maeneo mengi ya dunia na hata katika ardhi yetu ya Bongo (Bongo land).
Watu...
Nataka ni muombe Mh, Rais Jk. Atusaidie kututatulia swala hili la upandaji wa bei ya malighafi(Nyuzi) ilipanda toka mwaka 2009 mwezi9 kutoka 5,900 hadi 9,000 kwa madai ya kwamba Pamba hakuna...
Kwa kweli sijielewi kabisa ,tangu kuanza mwaka huu 2011 leo ni miezi 5 net.Sijanunua chochote cha maana wala kufanya lolote la maana mbali na kunywa,kula,kuvaa licha ya kupata mshahara ambao...
Florida hit hardest by Sears store closings
Florida to lose 11 Sears or Kmart stores; Ohio, Michigan and Georgia will lose 6
Florida will be hit the hardest by the closing of Sears and Kmart...
Wadau wa jF habr zenu.Mimi na wenzangu tuna mgodi wa madini ya rubi maeneo ya MATOMBO morogoro kijiji cha mwalazi.Una ukubwa wa eka 4,lesen tayar tunayo na tunachohtaj ni mtu makini na mwaminifu...
jamani, mwaka unaisha huu na mawazo yanaanza kufifia kwani kichwa kimechoka balaa. Naombeni kwa mwenya wazo jipya la biashara animwagie kwa kuanza mwaka 2012 na mpya tafadhali.....
Ameendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa. Amealika wafanyakazi wa benki ya crdb toka nchi nzima kuja dar es salaaam kuhudhuria sherehe na misa ya leo, nauli na...
Wakuu habari yenu mimi nina swali moja:
Kuna jamaa zangu wawili ma brothers wana mpango wa kuanzisha biashara ya website design, web development, SEO Marketing, E-commerce Solution kwa Africa...
Saturday, 24 December 2011 22:26
Saumu Jumanne
CROSSROADS
saumu.j@gmail.com This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
How many people...
Take the Quiz
-The following quizwill enable you to seek your own Entrepreneur Understanding
1.An entrepreneur s primary motivation forstating his own business is
a.To make money
b.To work...
mwenye kufahamu rationing ya chakula cha kuku wa nyama si vibaya akiweka hapa jamvini ili wadau wenye kuvutiwa na hii kitu wanufaike.
Ninasikia tu kwamba mahitaji ni dagaa, chokaa/kombe/mifupa...
The government has been urged to further tighten monetary policy in order to contain the inflationary pressures.
According to Tanzania Knowledge Network (Taknet) forecast inflation will continue...
Daladala drivers in Dar es Salaam yesterday dismissed Surface and Marine Transport Regulatory Authoritys (SUMATRA) plan to revoke their driving licenses, for alleged violation of transport rules...
ugumu wa upatikanji wa ajira ukizidi kuwaandama vijana wengi nchini kilimo pekee kinabaki kuwa kimbilio lakini kilimo bila mikopo ni ngumu,........................maana vijana hawategemei kulima...
Inspiring Internet entrepreneurs: Jammi Forums surfs on Internet technology. When it comes to playing with tech toys, these two are making it happen.
Friends Max and Mike have known each other...
Wana Jf kama kuna mtu yuko tayari kufanya biashara kwa ubia(ushirikiano) katika mambo yafuatayo.BAR,SALOON,DUKA,CAFETERIA etc.
Sehemu ya kuendeshea biashara hii ni mkoa wa Kagera-Bukoba vijijini...
i wish the US$ to trade as low as 1450 against TZS and let our tax policies to be reviewed in favour of promoting business community to trade more and pay respective lucrative taxes
pia nina...
Unataka ku- spend zaidi ya kipato. Kisha tu umeshindwa kujizuia na kuzoea kunywa pombe, kwenda club, kuhonga malaya, kula sehemu za kifahari, ku drive gari lenye fuel consumption kubwa, kupanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.