Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wana jf, please unafanya biashara na ungependa kupata vijana wa kukusaidi kufanya marketing na sales na kuwalipa kutokana na mauzo watakayo kuwa wamefanya ? Tafadhari twasiliane kwa ku ~pm Asanten!
0 Reactions
2 Replies
991 Views
wana jf nisaidieni... nataka kufungua organization inhusiana na kusafirisha wanafunzi wa shule za sekondary kwenda kwenye vivutio vya utalii. je nifanye nini? au nisajili wapi? au nini kinatakiwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Suzuki aina Grand VITARA ya 2002, 5 doors, 1900cc, Black inauzwa shilingi milion 17. Iko kwenye hali nzuri, imetoka Uingereza. angalia attachment....picha zake kama unahitaji piga hii namba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Dar: Ili kupashana upatikanaji wa Petroli katika kipindi hiki cha uhaba, nimetoka kununua petroli kituo cha mafuka karibu na soko la Mwananyamala saa 10 alasiri leo hii. Hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka shilingi ya tanzania ilishuka nakufikia thamani ya 1800 kwa dola moja ya Us na sasa imepanda na imefikia 1584 leo. hii inaashiria nini? kipindi ikishuka thamani kila siku zilikuwa...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Nauza rubby,(polished na unpolished,red garnet,pink garnet,yellow garnet,green sapphire,blue sapphire,opal grames,emarald grames,tsavorite grames kwa yeyote anaetaka kununua au anajua wap nitauza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mm ninauliza mwenye uelewa mimi napenda kujiajiri ishu ni mtaji je ule mpango wa serikali kutoa mkopo kwa dhamana ya cheti umefikia wapi? na ule wa NSSF masharti yake vipi nataka kuanzisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni jioni ya leo siku ya Ijumaa ninapofanya matayarisho ya manunuzi ya vitu vya sikukuu. Nauliza bei ya kilo moja ya mchele mzuri naambiwa ni shs. 2,000/- !! Ninapatwa na mshangao mkubwa. Bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
AN Indian firm, Abhijeet Group, has said will generate 1,200MW of electricity that would be injected into the national grid. The Abhijeet Group Director, Mr Abhijeet Jayaswal, told reporters in...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania and Uganda yesterday signed an agreement with a Chinese Civil Engineering Construction Corporation for the construction of Tanga-Arusha and Musoma-Uganda railway for speeding up linkages...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa nakaa najiuliza lakini sipati majibu ya moja kwa moja.Je ubinafsi wa viongozi wetu au hatuna uwezo na utashi wa kushughulikia matatizo yetu kimizania. Huduma ya reli ni kama imekufa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri. Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu. Asante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania mara nyingi nimekuwa nikifuatilia habari za uchumi wa nchi yetu kwa karibu sana. Mengi nimeyasikia, nimeyasoma na mengine yanajithibitisha yenyewe! Kwa mfano mwezi Mei mwaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimatumain yangu wote wazima, mimi niko intreresetd sana kununua Volkswagen golf ya mwaka 2000, cc 1600 au cc1800, kwa sababu naona magari aina ya Toyota bei iko juu, je spea zake hapa tanzania...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bonglob - Login, Signup Nina mashaka na huu mtandao saaana tu sijui kwa nini... jamaa mwenyewe anaipigia promotion kila kukicha facebook anaitwa james obedi ila kiukweli NINA MASHAKA NAYO kila...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Muungano wa Makandarasi wa Kichina Tanzania wanaidai serikali sh 287.1 bn. Deni hili limeanza tokea mwaka 2009. Asilimia 65.5 ya barabara zinazojengwa nchini zinajengwa na makandarasi wa Kichina...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Christmas is a day created by capitalists to increase public spending. HALLOWEEN NIGHTS, BEER FESTIVALS, MOTHERS' DAYS ETC ETC. Do we need all those? A peasant unlike celebrities spends an...
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Christmas is a day created by capitalists to increase public spending. HALLOWEEN NIGHTS, BEER FESTIVALS, MOTHERS' DAYS ETC ETC. Do we need all those? A peasant unlike celebrities spends an...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
suzuki grand vitara ya mwaka 2004 ya metalic silver kutoka uingereza (uk).iko kwenye good condition. 5 doors , manual estate diesel, sunroof,alloy wheels,ABS,air conditioning,front armrest,folding...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Over 78% of hiring managers say that your choice of a skirted suit or a pants suit has no effect on their hiring decision. About a third of hiring managers prefer female candidates to wear a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom