Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Za saa hizi wana jamii wenzangu!! ni hivi nimeombwa ushauri nami naomba mnisaidie kuna mzee wangu anataka kununua roli la kusafirisha mafuta lakin mimi nimemshauri anunue roli la kubebea mizigo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, Hali inatisha! kijana wa kikwere na kasherehe haya yasio kuwa budgeted wengine tumeanza kilimo kujikamua Ishu inakuja soko Navuna ndoo 2 kubwa kila baada ya siku moja, nawauzia watu wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Sina hakika kama songea ving'amuzi vya star times vinafanya kazi.kama vinafanya kazi kama kuna mtu humu anajua jinsi ya kupata uwakala naomba anijuze.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Residual Income (Passive Income) Some people go through their entire lives without being exposed to the term residual income, however with our education background and experience in wealth...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu natafuta Mitsubish fuso dump truck iliyo ktk hali nzuri, mwenye nayo tufanye biashara pls
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imetumika Nchini miaka miwili na nusu, Iko katika hali nzuri sana, na inafanya kazi ya kwenda mbeya hadi leo, Ina engine ya 16, Gia 5, 7500cc, Inabeba tani 10. BEI 22,000,000 na maelewano yapo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nipo Arusha na ninahitaji gari hilo. Lisiwe la mwaka nyuma ya 2004, na halijatembea zaidi ya kilometa laki 1. Nina Tsh 7mil. Mwenye muuzaji au anayejua muuzaji mwenye nalo ani PM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau. naombeni msaada wenu katika kufahamishwa kuhusu vingamuzi vya tz na ubora wao, wa vipindi, bei...na mengineyo. asanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TCRA, tafadhali chunguza yanayolalamikiwa na wateja kuhusu tigo humu jamvini.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya Young master Supplies & General Enterprises inayohusika na mambo ya IT iliyopo jijini Arusha inapenda kuwatangazia wananchi na wakazi wote wa jiji la Mwanza kuwa Mafundi na wataalamu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF Ninaomba msaada: Ninahitaji jengo la ofisi kama vyumba 2 au 3. Maeneo ninayopendelea yawe: Along Ali Hassan Mwinyi Rd, Msasani kwa Nyerere, Kijitonyama, Masaki na Upanga. Hata kama ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu leo kulikua na kongamano la TRA la kuwatambua walipa kodi bota na nyingi.Ila sijabahatika kujua ni kampuni zipi zimepata tuzo hizo.Sherehe zimefanyika Movenpick/Serena hotel.Please mwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau Pakistan wameanza kutengeneza bia,sasa kwa maadili ya dini yetu inakuwaje kwa TESTER kucheki kama kimea kimeiva?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
There have been spectacular advancements in information technology in the recent decades. It has resulted in an information explosion. It has therefore become very important to harness...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naombeni mwenye kujua market price kwa Tanzania anijulishe ( VAT Inclusive)
0 Reactions
5 Replies
10K Views
WAKUU HILI SWALA LIMEKUWA KISUMBUA VICHWA VYA WATU WENGI SANA. KWA KUJIKITA HUKU KWETU JAIBU KUCHANGIA KWA UNAVYO WAONA WAJASIRIMALI WETU, RELATE NA HIZI FACTOR HAPA CHINI 8 Common...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hello to all guys. Ninajipanga kununua mazao(mpunga) wakati wa msimu wa mavuno kwani bei itakuwa chini,na baada ya miezi kadhaa nitauza,ila sina uzoefu na hii shughuri,msaada wa mawazo kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa muda sasa nimekuwa mtumiaji wa huduma ya M-Pesa. Pamoja na matatizo ya mara kwa mara ya "network"! lakini bado imekuwa ikisaidia sana katika kutuma pesa... Tatizo lililopo ni kuwa hawa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa nina wasalimu katika jina la yule mwenye jina lipitalo majina yote. Salamu kwenu wanafunzi wote mlio vyuoni na mliomaliza masomo yenu. Salamu kwenu kina Babalao na wengine...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wadau, jaman mimi nina shida ya machine ya koni yaan ice cream na pop corn ila ktk pitapita zangu cjawah bahatka kuziona dukani kwa mwenye details where i can get them na bei zake labla
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom