Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mko salama na mnaendelea na shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Taifa.Wakati ninapofanya kazi na watu ya kusimamia mchakato waowa usajili wa Kampuni...
MHE. MASACHE KASAKA: Bajeti ya Wizara ya Madini Imegusa Kila Sekta Hasa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini
"Serikali imewasilisha bajeti nzuri ya Wizara ya Madini maana imegusa kila sekta hasa...
Habari wana jukwaa,
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wafanyabishara kutoka Tanzania kwenda China kufanya biashara mbalimbali kama nguo, vipuri vya magari na pikipiki, vifaa vya electronics nk. Najua...
Wakuu kwema!!
Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza.
Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa
Vitu...
Habari Wadau!
Mimi ni kijana mtafutaji wa hali ya chini kwanza niseme jamii forums n8 sehemu iliyonifanya nipate wazo hili ambalo naweza sema lime badilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa!
Mnano...
Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema.
Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop
Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi...
Vutia wateja wengi kwa kuboresha mpangilio wa bidhaa zako.......
kwa shelves bora na za kisasa kutoka kwetu,
Una jiuliza bei yake ni ngapi?
Sasa, Gharama ya double shelves ni 550,000/= (...
Wakuu habari,
Hivi hii hali ya baadhi ya siku unakuta kuanzia asubuhi hadi jioni hupati wateja kwenye biashara yako badala yake wanakuja wanaoulizia ulizia tu na kuondoka
😀
Hivi hii hali huwa...
Habari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo final year, nilipost nyuzi mbalimbali kuomba msaada juu ya ushauri wa kibiashara bila mafanikio wengine waliahid kunipa support lkn...
Moshi. Tarehe 21 Aprili 2024: Ikiwa imebaki chini ya miezi miwili kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaizindua Benki ya Taifa ya Ushirika Tanzania (CBT), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda...
"Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki?
Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?"
Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama...
Habari wanajamvi
Kuna hii biashara ya Saluni za kiume na massage, nimejaribu kutafuta thread inayoelezea namna ya kuanza hii biashara na vifaa vinavyohitajika na wapi pa kuchukulia, wadada wazuri...
Hivi mtu akitaka kuanzisha duka la dawa anatakiwa awe na angalau kiasi Gani Cha pesa?. Na ni vigezo Gani mtu huyu anatakiwa kuzingatia. Naombeni ufafanuzi!!!
Habari za muda huu ndugu zangu.
Samahani nilikuwa naomba msaada wa Maoni kutoka kwenu Nina duka ila kuna biashara ya gas nilikuwa Nataka nianzishe sasa nilikuwa naomba kuuliza kuwa Kati ya gas...