Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kwanini kundi linaloitwa mafisadi wakishafisadi wanaficha hela nje ya mipaka ya Tanzania. Watu hawa wanasababisha hali ya uchumi wetu kuzidi kudorora na...
Habarini wakuu!
Ninaomba kueleweshwa kwa anayejua vizuri
Je faida gani wakala wa kuuza LUKU na VOCHA anaipata kutokana na utoaji wa huduma hii. Hasa kwa wale wanaotumia zile mashine za maximalipo?
Wakati sisi tuko bize na korosho kumbe bibo laweza tumika kutengenezea pombe!
Brazil wao wako bize na bibo sisi tuko bize na korosho!
Nimeamini Tz can move if we are determined!
Ni wazi sasa ni suala la muda tu kabla ya ccm kuondoka madarakani na nafasi yake kuchukuliwa na chama mbadala chenye nguvu, na hapa tz ni Chadema. Kuchukua uongozi (mamlaka) ni jambo moja na...
wana jf mwenye uelewa kuusu hisa anisaidie please.inafanyaje kazi?napataje faida?ni kampuni gani nzuri kuivest hisa kwa sasa?naitaji capital ya sh ngp kwa kuanzia?
HAYA KWA MARA NYINGiNE TENA JAMAA WA KAMPUNI YA KIZAWA(KITANZANIA) PRECISION AIR you are why we fly ,IMETANGAZA MPANGO WA KUANZA KUUZA HISA ZAKE KWENYE SOKO LA HISA DSE ILI KUWAPA FURSA WATZ...
Wanajamvi habari, natafuta majiko ya gas yanaitwa triangle gas stove yaliuzwa sana saba saba.yanatumia gas flani ndogo inaiwa butane gas, inakwenye kachupa kdg kama chupa ya sumu ya mbu, mwenye...
Wana jf, nina fuso yenye uwezo wa kubeba tani 10. Natafuta tender ya kufanya kazi inayolipa. Haijalishi inaenda wapi tanzania hii. Japo safari za karibu na dar zinapewa kipaumbele.
Mwenye...
Hbr za majukumu wataalamu wa Biashara.
Huku Kigoma na nafikiri mikoa mingi haina sehemu za kufanyia mazoezi. Nimekuwa na wazo la kufungua hii kitu; ila sina uzoefu kwanza wa biashara kabisa...
With fears mounting that financial uncertainties in the Eurozone could trigger another global economic downturn, experts have called on Tanzanians to stay alert to avert its impact. And as the...
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 6-day Intensive program geared toward developing knowledge and practical skills necessary to perform ICT Audit, Risk Management and...
WATANZANIA wametakiwa kuzikwepa bidhaa bandia zilizozagaa nchini, ili kuisaidia serikali katika jitihada zake za kupambana na uingizaji wa bidhaa hizo. Rai hiyo ilitolewa jana jijini Dar es...
What is the real meaning of being success in afica and the real meaning of being success in europe,usa and other developed countries?
Everyone can define success according to his/her own...
The Ministry of Natural Resources and Tourism has locked out about 85 percent of foreign hunting firms even as 14 hunting blocks remain vacant.
Current official information on the state of tourism...
BizTogether ni business social network ya Tanzania ambayo inawaunganisha watu wote kujadili kuhusu biashara zao, kutafuta masoko, kutafuta bidhaa, kushare vitu mbalimbali vya maendeleo...
Ndugu zangu,kwanza nawasalimu na kuwapa pole za kujenga Taifa.
Ningependea kuwapa mkasa nilioupata jumamosi iliyopita katika ATM ya Barclays pale OHIO karibu na MOVE N PICK.
Nilifika majira ya...
Responsibilities are all the duties that every one in a common,society or organization has to fulfil.They are part of life and enable us to achive our goals. Responsibilities differ from one...
Jana mchana nineingiza salio kwenye simu yangu line ya Vodacom TZS 1,000/= baada ya saa moja nikatumiwa ujumbe wa simu kuwa nimeingizwa kwenye bahati nasibu ya TZS 11,000,000/= na wakakata TZS...
Mh ndio ninavyoangalia shillingi inavyoporomoka na kimya kikuu cha serikali. Inaumiza zaidi serikali imejikita zaidi katika SIASA kuliko UCHUMI.
Akina BENNO NDULU na Mustapha Mkulo wako wapi...