Asubuhi hii nimepitia atm ya crdb pale shoprite kamata, haina pesa. Imebidi nikachukue pesa kwenye atm ya nbc. Hivi hawa watu wa crdb wako serious kweli?
Sehemu ya supermarket ambapo watu wengi...
Habari zenu wanajamvi. Jana nimepiga simu saa 2 usiku. Cha kushangaza ilikatwa tsh 300 kwa dakika 1. Kuthibitisha kua haikua bahati mbaya wakanitumia ujumbe usemao, "sasa piga simu kwa sh...
Traders have hit back at the Bank of Tanzanias response on the quality of its new banknotes, calling for their removal from circulation.
Traders interviewed by The Guardian at Ferry fish market...
Katika maisha ya mwanadamu hapa mbele ya jua.., mafanikio ndiyo kitu kinachotafutwa na watu mmoja mmoja na mataifa pia zaidi ya kitu kingine. Mafanikio jamani..!, kiteknolojia, kiuchumi, kielimu...
Nimefarijika kusikia vijana wanahisa wa nicol wamepanga kuwaondoa viongozi wa kampuni hii na kushika hatamu ya uongozi na kunusuru mitaji ya watanzania waliowekeza katika kampuni hii, hayo...
Leo nimezitazama data sehemu kutoka IMF na kuona Tanzania GDP per capital income imepanda kutoka 385 in 1980 to $1,400 per person.
1980
386.55
1981
414.732
7.29 %
1982
426.696
2.88 %...
Vyombo vyoote vya habari nchini na dunia jana na leo vimetawaliwa na habari ya kifo, kifo cha mtu ambaye pengine wengi hawakuwa wakimfahamu hapo kabla, hakuwa maarufu sana, lakini alikuwa muhimu...
Wakuu natafuta chumba na sebule maeneo ya Savei,sinza A opp. na mlimani city na pia maeneo ya mwenge
mtu mwenye ifo au namna yeyote ya kunisaidia pliiz just Pm me!
Kwanza tuambiane kwa mliokwisha wahi kufanya biashara ya hisa na hasa tunapozungumzia faida,hivi tuwe wakweli ili hatimae tupime wenyewe na tuamue na sisi ambao tunafikiria kuhusu hisa tufanye...
wanaJF,nimekuwa nikiangalia inflation rate kwa maana ya thamani ya TShs vs US$,kwa takriban mwezi sasa,imekuwa ikipanda kwa kasi ya ajabu
mathalan leo nimepitia bureau exchange kadhaa maeneo ya...
PRECISION AIR:
Shares are now available for sale @ 475 per share
Offer open period ;7th october- 28october 2011
buy yor shares at the following ponts of customer payment:
The...
Wadau kuna yeyote ambaye amechimba kisima na hawa jamaa wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wa ubungo? Nasikia wapo shwari sana. Naomba atupe tathmini yake kama wanafaa (kwa kufanya...
Wakuu heshima mbele,naombeni msaada wa mawazo jamani,nina sh.million 5 nataka nizizungushe kny biashara ambayo haitanisumbua hasa kwenye uendeshaji kwani mimi ni mwajiriwa hivyo muda wangu utakuwa...
Wadau. Nimedunduliza kahela ka kununua gari Kampuni ya Autorec ya Japan. Nimekuwa nalipia kwa awamu, nimelipa awamu mbili bado moja ya mwisho. Changamoto ni kuwa kila ninapotuma pesa huwa...
Kila kukicha huwa watu wanasaka fedha lakini hazijai na wala haziwatoshelezi sasa najiuliza
kuwa kwa kutegemea mishahara ya kibongo ya sh laki nne mpaka mili 2 mtu anaweza
kuwa tajiri na kama...
Salaam!
Natafuta wanunuzi wa asali mbichi kutoka tabora.
Nauza kuanzia lita 20 na kuendelea.
Tafadhali ni pm kama unahitaji au kama una maoni au msaada wowote.
Asanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.