Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naomba kuuliza ukiwa na one billion ni biashara gani ambayo itafaa kuanzisha na kuweza ku dominate southern sahara... Na kwa muda mfupi??? Mawazo yenu wakuu yanahitajika katika hili
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Lile jinamizi la mikataba feki hapa Tanzania inaonekana halitakaaliishe, kutokana na ubabaishaji unaosababishwa na serikali legelege. Pamoja na serikali kukaa kimya kuhusu uchimbaji wa madini ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hebu cheki hizi videos utapata elimu nzuri sana ya biashara: 1. http://www.youtube.com/watch?v=Sz1SLOkIg0Q 2. Robert Kiyosaki - New Rules of Money, Part 1/7: Conventional Education Vs. Financial...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
MAFUNZO YAUJASIRIAMALI Je, unania ya kuanzisha na kumiliki biashara yako mwenyewe? Wataalum wa mbinu mbalimbali za biashara wameandaamafunzo maalum ya ujasiriamali. Mafunzo kama haya yamefanyika...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hali zenu wadau, Nikiwa mwenye kupenda kutoa mafunzo kwa watu wa kada mbalimbali nakusudia kuanzisha Training College katika kiwango cha ngazi ya chini kwa wahitimu std 7 - form six. Nina akiba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeipenda sana hii quotation from Mwalimu. "You don't have to be a Communist to see that China has a lot to teach us in development. The fact that they have a different political system than...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF kwa mtu yoyote aliyetayari kufanya biashara na mkaribisha ajee tushirikiane kuna biashara naijuwa ambayo inalipa sana na ni halali kwa mujibu wa sheria TZ kama mtu yupo seriously...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Heshima kwenu wadau. Nina kiwanja changu kidogo square metre 700 kiko maeneo ya bomba mbili Dar. Nafikiria kitu cha kufanya. Niweke mradi gani hapo? Kufuga naona hili ni kama eneo dogo sana kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimependa sana uchambuzi huu kuhusu BOT na Shilling yetu kushuka. Beno governor amekuwa anatudanganya sana kuhusu sababu za kushuka thamani ya shilling. Sijui ni kwamba hajui anachosema au...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
It's a new century When I was a kid my parents taught me the same formula for success that you probably learned: Go to school, study hard and get good grades so you can get a secure, high paying...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Recently the inflation rate rose yo 14.1%, while our currency record a lower value of 1677 per dolar. But the the big disgusting trend of widening deficit current account to nearly $1.2 billion...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa, Tuchangamkie viwanja Bagamoyo. Subject: GREEN RETREAT PROJECT AT KITOPENI Dear Sir/ Madam, I am writing you this letter to introduce to you our GREEN RETREAT project at Kitopeni...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Nawasalim wote, 1. Naomba kufaham kulingana na mnavyo faham, biashara ya haisi (hiace) kwa siku hulaza sh.ngapi kwa tajiri na makubaliano hua yapoje kulingana na sehem yenyewe (kama ni dar, mwanza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wanajami forums, mm nikijana nilie maliza mafunzo ya ualimu, ninatamani kuwa nashule yangu ila sina mtaji nifanyaje? Ilinifanikiwe.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanzania 'will mine uranium on Selous Game Reserve' Tanzania will go ahead with plans to mine uranium in the UN World Heritage site Selous Game Reserve, the natural resources minister has told...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini wadau! Nimekuwa nikisoma posts za watu wakiomba msaada juu ya biashara za kufanya kwa mitaji yao ambayo siwezi kusema ni mikubwa au midogo (mil.2 - 5). Kwanza ninawapa pongezi kwa mawazo...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
EAC growth figures are deceptive, say critics Send to a friend Monday, 10 October 2011 09:21 By Zephania Ubwani, The Citizen Bureau Chief Arusha. Economic...
1 Reactions
2 Replies
925 Views
Wana JF salaam. Mimi ni mjasiriamali, nimebobea kwenye ushonaji wa nguo aina zote. Nataka kuongeza masoko yangu, mwenye infuluence kwenye Tenda za ushonaji uniforms za shule, Hospitali, Hotel na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa wadada wa JF, Bwana Yesu asifiwe sana/A'saaam Aleykum. Kuna mkutano wa wanawake wajasiriamali utakaofanyika Jumamosi 8-10-2011 Benjamin Mkapa Tower, ukumbi wa Benjamini Mkapa kuanzia...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hebu ndugu unayesoma habari hii fikiria vizuri hiki kitu. Banks zinafanya biashara ya kukopesha ela, na biashara hiyo inalipiwa kodi. Ina maana bank wakinipa mimi mkopo nifanye biashara, tayari...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom